Inasikitisha,na kushangaza,kusikia eti baadhi,ya maeneo,walimu wa primary hawakusaini fomu za kuunga mgomo,wakati wao ndo wana hali mbaya ya mishahala midogo! Uu tuuite ujinga au..?
Kuwa na mtazamo tofauti si ujinga bali mtazamo tofauti
kwa kifupi ni maJUHA plusNi ujinga mkuu!! siyo mtazamo tofauti...au ndiyo kweli kuwa wengi walifoji vyeti kwa ajili ya kupata angalau UALIMU na hivyo wanaona wakigoma watafukuzwa kazi na watakikosa hata hicho kodogo wanachokipata???? Kazi kweli.
mathew tusiendekeze ujinga wa kusapoti waliokwisha ujkubali ujinga....hivi utafanyiaje kazi cheti cha kununua au cba mwenzio? Inamaanisha wewe hauexistWengi wao wapata 0 form four wakanunua vyeti ili wakasome alau ualimu. Hivyo wanaona hata huo mshahara ni mkubwa mno hawawezi kugoma.