Aisha Gaddafi: Moto wa kuotea mbali !!


Acha maneno hayo si mpaka akuvulie ndo umesifa hizo au weupe umekuchanganya. ILA ukweli ni kuwa baba yake ni KOMANDOO wa uhakika kwa jinsi anavyouawa wananchi wake ambao anapaswa kuwalinda na kuwatawala kama vile anaua kuku. Kwa mauaji ya namna hiyo naona karibu atashinda na kubakia madarakani maana walibya wengi wameanza kuogopa kuendelea kumpinga kwa jinsi maiti zilivyo zagaa
 
Mbona dental formular ndo mi naona, tunamsifia kwa Ushungi au? maana hatuoni kisogo chake kikoje huenda bichwa nunge, au ni Kitembo...sie mambo ya Vipotable bwana sio matebwele, acheni kusifia mbuzi kwa gunia na maushungi take, mie nasisimuliwa na nywele za usogoni bwana
 
Aisha wa Gaddafi huyu hapa: aisha-gaddafi.jpg
 
Back
Top Bottom