Siyo yule dr mihogo feki wa KanadaAlikua anapenda sana kifungua kinywa cha strungi na mihogo.
Huyo ndo the original DrmihogoNyerere
Siyo yule dr mihogo feki wa KanadaAlikua anapenda sana kifungua kinywa cha strungi na mihogo.
Huyo ndo the original DrmihogoNyerere
Nyerere huyu huyu aliyechukua nchi kitoka kwa wakoloni ikiwa na afya tele halafu kaiacha ikiwa ICU kwa sera zake za kijamaa ndio mnamtumia kama role model leo hii?
you are letting emotions get in the discussion, kukosoa sera za kiongozi ni jambo la kawaida na sio matusi,Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi. Hivi kweli unadiriki kumkejeli Nyerere kihivi?
Fananisha social fabric ya Tanzania ya sasa na Kenya, Uganda, in fact karibuni nchi zote za kiAfrika. Tulipopata uhuru Nyerere alijikita katika kujenga taifa la Kitanzania (national identity). Alipofemea kiuchumi alifanikiwa kiutu/kiutaifa. Sasa hivi Tanzania bara tuna mshikamano wa hali ya juu sana (fananisha na Zanzibar ya sasa ambapo pana Upemba na Uunguja uliokithiri kufikia watu kususia uchaguzi). Tanzania (at least the mainland) is the envy of many countries (many of whom dare not call themselves - "NATIONS") of the world today because of Nyerere.
Tulipopata uhuru kila jimbo au kabila (Wasukuma, Wahaya, Wanyakyusa, Wachaga, nk.) walitaka kuwa vinara au kuwa na autonomy hapa nchini. Nyerere angeruhusu hiyo basi kila mkoa au jimbo lingekuwa na matatizo kama tunayoyaona Zanzibar sasa. Fikiria, tungekuwa tunazungumzia uchumi tena kama kungekuwa na migogoro ya kisiasa katika kila mkoa? Tungekuwa hatuishiwi kuchinjana makabila kwa makabila kama nchi nyingi hapa duniani - hususan majirani zetu.
Mkuu, weka akiba ya maneno unapomtolea shutuma Mwal. Nyerere.
wewe umezaliwa mwaka gani? nadhani itakua ni kwenye 90s, unahitaji kusoma sana historia,Toka muache sera ya ujamaa na kujitegemea mmepiga hatua gani??
Apo akiwaadisia vitu alivyochungulia jana yake kwenye runinga yake ikulu
Una laana wewalidhalilisha utu wetu kwa kutuaminisha kuwa hawakumbatii Wageni, kumbe anawalamba miguu.
Alipokuwa anang'ang'na na sera yake iliyoshindwa ya Ujamaa na kujitegemea alishindwa kuchukuwa nafasi hiyo kushawishi Lugha yetu adhimu ya Kiswahili itumike (tujitegemee), badala yake akatuchanganya na Kiingereza!
Wachina wako mbali sana.
Utumbo huu umeutoa wapi? Au ulianza na chibuku kwanza kabla ya kuja humu jamvini.alidhalilisha utu wetu kwa kutuaminisha kuwa hawakumbatii Wageni, kumbe anawalamba miguu.
Alipokuwa anang'ang'na na sera yake iliyoshindwa ya Ujamaa na kujitegemea alishindwa kuchukuwa nafasi hiyo kushawishi Lugha yetu adhimu ya Kiswahili itumike (tujitegemee), badala yake akatuchanganya na Kiingereza!
Wachina wako mbali sana.
ha ha ha,eti fisadi.....wewe umezaliwa mwaka gani? nadhani itakua ni kwenye 90s, unahitaji kusoma sana historia,
au kama kusoma ni kazi ngumu kwako kaulize hata babu zako, maisha yalikuaje miaka ya 70s mpaka 90s, kuvaa ndala mpya ilikua ni luxury kubwa sana kipindi hicho, shati linauzwa tshs 5/= ila ukinunua mashati mawili ndani ya mwaka ulikua unaonekana kama fisadi
Rudi shule ukajifunze historia ya Tanzania. Lakini, kama hukupata fursa ya kwenda shule, hata maoni ya wengi mitaani pia umeziba masikio husikii? Vibaraka kama nyinyi ni aibu kwa taifa hili.alidhalilisha utu wetu kwa kutuaminisha kuwa hawakumbatii Wageni, kumbe anawalamba miguu.
Alipokuwa anang'ang'na na sera yake iliyoshindwa ya Ujamaa na kujitegemea alishindwa kuchukuwa nafasi hiyo kushawishi Lugha yetu adhimu ya Kiswahili itumike (tujitegemee), badala yake akatuchanganya na Kiingereza!
Wachina wako mbali sana.