Aiseee!!!

Warren T

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
664
409
4aa1631c1e7de1a21826f6672fe895b4.jpg
 
alidhalilisha utu wetu kwa kutuaminisha kuwa hawakumbatii Wageni, kumbe anawalamba miguu.
Alipokuwa anang'ang'na na sera yake iliyoshindwa ya Ujamaa na kujitegemea alishindwa kuchukuwa nafasi hiyo kushawishi Lugha yetu adhimu ya Kiswahili itumike (tujitegemee), badala yake akatuchanganya na Kiingereza!
Wachina wako mbali sana.
 
Kama unaamini siasa ya Ujamaa na kujitegemea ilikuwa mbaya, kwa nini sasa vilio kila kona kuhusu kuongezeka kwa kundi dogo la walio navyo kundi kubwa la walala hoi ?!!
 
vilio ni kipimo cha uwajibikaji. Ujamaa ni ujinga........wavivu wanataka kula jasho la wapiga kazi. Eti nilime mimi, tuvune wote!!? Rubbish
 
Toka muache sera ya ujamaa na kujitegemea mmepiga hatua gani??
 
vilio ni kipimo cha uwajibikaji. Ujamaa ni ujinga........wavivu wanataka kula jasho la wapiga kazi. Eti nilime mimi, tuvune wote!!? Rubbish
We "kiatu" siku akili ikikuingia kichwani ndio siku Kaishebo itakua na maendeleo.
Kasome vizuri "ujamaa" na hicho unachokilinganishanacho, alafu ndio uje uchore "midarasini" yako humu.
Tehehehe, leo "ujamaa" unaonekana dhambi na tusi kwetu WATANZANIA...? Kataeni kabisa na misaada yao hao wenye Sera ya ujamaa. Tuanze upya.
 
Alikua anapenda sana kifungua kinywa cha strungi na mihogo.
Huyo ndo the original Dr mihogo Nyerere
 
Nyerere huyu huyu aliyechukua nchi kitoka kwa wakoloni ikiwa na afya tele halafu kaiacha ikiwa ICU kwa sera zake za kijamaa ndio mnamtumia kama role model leo hii?
 
Kama unaamini siasa ya Ujamaa na kujitegemea ilikuwa mbaya, kwa nini sasa vilio kila kona kuhusu kuongezeka kwa kundi dogo la walio navyo kundi kubwa la walala hoi ?!!
ujamaa wa nyerere ulikua mbovu sana, kutaifisha private sectors kisha kuziua? kupunguza gap kati ya tajiri na masikini unafanya kwa kutoza kodi, nchi kama France zinafanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom