Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Mkuu, sijakupata hapa; ni ukubwa wa injini au design ya injini??
Ukubwa kaka.......kama huu!!!!
![]()
Ikitua Arusha hakuna wa kwenda kazini mpk iondoke.
Ikitua Arusha hakuna wa kwenda kazini mpk iondoke.
mkuu kwanini iwe arusha na si singida, katavi au kwingineko
Ikitua Arusha hakuna wa kwenda kazini mpk iondoke.
watu wairinga na songea wangesema duh bongii gutairi
Ina options kibao za kutua..........
![]()
Mmmhhhh, na wakati wa ku-take off itaweza kugain momentum ya kutosha na hizo makitu kweli???
Hakika
I doubt sir, ever practiced?? Like in real scenario??
Mkuu Lumanyisa ubuheri ? hapo nataka kuelewa neno bongii inatokana na "bonge" yaani kubwa ? au BONGE ndiyo BONGII
kibantu? very nice combination kiswahili ni kitamu!!