Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

kaka ukiskia wanawake ndo hao, hata umpe nini bado atakusaliti mchana kweupee sijui mioyo yao ikoje.
Nakushauri tulia kwanza wala usiendelee nae jifunze kumkosa bila hivyo utashangaa umemsamehe leo kesho anapigwa tena gem na mtu mwingine hapo utaumia zaidi. Vuta subra pata nafasi ya kumuomba mungu akujaalie ustahimilivu yataisha tu hasa kwa kuwa yanawakuta watu wengi wewe sio wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho, ukitulia mapenzi mapya yatachipua moyoni mwako na utafurahi tena
 
pole mkuu, tena mbaya zaid ujapiga dah
 
kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa yule ulempenda wewe unakonda yeye ananenepa...........
 
Songa mbele tafuta mwingine,mbona wako kibao,utampata mzuri kuliko yeye,
 
Pole sana.

 
Last edited by a moderator:
Unalia nn sasa?Ww uli beep yeye kapiga kabisaaa!
Life goes on achana nae!
 
Usijali Mungu amekuonyesha njia iliyo sahihi. Punguza kulia kwani huo ndio usalama wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom