Habari wana jf,hapa nilipo nipo hoi kwa maumivu yakutendwa! Nibaada yakuwa mbali na maumivu haya kwa takriban mwaka na nusu hatimae leo nimefumania girl wangu akiwa katik pozi za kimahaba akitoka guest na mshikaji mwingine,aisee nilikua shocked sana but nilivumilia ili nione mwisho wao.
Hatimae wametokomea nakuniacha nikiwa nimechanganyikiwa.Nimempigia simu kumuuliza ananiambia sababu nimm coz tulikwaruzana kidogo nikamwambia nimetafuta girl mwingine anaenijali ndo akaamua kumtafuta huyo.
Mh!within two days tayari kishapata mbadala wangu!
Naumia sana na kwasasa nafikiri kuwa mbali na wanawake kwa muda kidogo ili akili ikae sawa.
Kitu kinachonikera kwasasa ni sms zake za kilaghai akidai eti bado ananipenda.
AMAKWELI MAPENZ HAYANA MWENYEWE!