Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Kwajinsi nilivyo nahisi usiku waleo utakuwa mrefu mno!
 
Tatizo mnabeep mkipigiwa mnakosa uaingizi tulia mapenzi haya beepiwi sasa tulia mwezio aletaratibu
 
Inauma sana mkuu haswa nikifikiria nilivyompenda,kumjali na kumthamini!nimemvumilia takriban miezi mi3 bila kusex nae kwasababu ya maradhi yaliokua yakimsumbua hatima kapona badala yakujakunionyesha mm kuwa kapona anaendakumuonyesha mwingine duh!

BOMBAY;
uliambiwa maradhi yake yalikwisha?? Ni maradhi gani hayo na yalimpataje mpaka dr akamwambia dawa ni kukunyima sex??Ulipomtishia una mwingine ni baada ya kunyimwa upuuzi huo?? Pole, hata miye nakushauri kuachana na mwanamke yeyote mpaka ukomae kidogo. Huenda wa kwako hajakua.
 
Kazi ya moyo ni sukuma damu huku kupenda ni kiherere...pole sana mkuu jaribu kusahau.
 
Mkuu naamini maradhi yalikwisha ndio mana akaenda kwa mshkaj coz yalikuwa ni maumivu ktk nyet zake na nilimpeleka kwa dr wamaradhi hayo akapewa dawa,kwahuruma yangu nikaoona nimpumzishe baada ya kuniomba nimvumilie mpaka amalize doz na sikumtishia kwasababu alininyima ila litabia alibadilika
BOMBAY;
uliambiwa maradhi yake yalikwisha?? Ni maradhi gani hayo na yalimpataje mpaka dr akamwambia dawa ni kukunyima sex??Ulipomtishia una mwingine ni baada ya kunyimwa upuuzi huo?? Pole, hata miye nakushauri kuachana na mwanamke yeyote mpaka ukomae kidogo. Huenda wa kwako hajakua.
 
Pongezi kwenu kama hayo uyasemayo ni yakweli
Nampenda sana lara 1but she have nothing to do with my heart, but My all feelings is there to Lara 1.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom