Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Aisee pole sana mkuu ndo ukubwa huo naona umebeep fire nao wamepiga ila kama vipi fanya hivi..kama unahela kimtindo nenda kafanye shopping kanunue timberland, au sneaker kali, jeans kali, t-shirt au shirt kali, kanyoe nywele halafu ikifika jmos zivae timba zako coco beach na washkaji au mwenyewe tu au kapige misele tuuu ni some kind of stress reliever..tembea kwa swagg kidogo nin utaniambia yani zile za feeling myself kama za WillIam hivi...utakua fresh tu...
 
Ahsante kwa ushauri Lyamber

Last edited by a moderator:
Inauma sana mkuu haswa nikifikiria nilivyompenda,kumjali na kumthamini!nimemvumilia takriban miezi mi3 bila kusex nae kwasababu ya maradhi yaliokua yakimsumbua hatima kapona badala yakujakunionyesha mm kuwa kapona anaendakumuonyesha mwingine duh!
Bombay
ukikua utaacha na kusahau haya mambo
MUNGU amekuonesha sasa tafuta Mke 9achana na machangu wa ku-SEX hovyo hovyo
mwanamke unayemfuma Guest ujue keshaliwa na si mara ya kwanza hafai ukimuoa ni lazima watarudiana tu
Mimi kuna jamaa alininyanganya Demu wangu wa awali ingawa alishatembea naye, akamuoa kwa MATAMBO sana
leo wameachana baada ya kugundua Demu muachiaji kurudi kwangu akakuta nimemuoa shoga yake na ametulia sasa analialia tuendelee
NAKUOMBA MUACHE KABISA
 
Pole umeyataka mwenyewe ulibipu mwenzio kapiga...
 
Ahsante sana Ukwaju nashukuru kwakunitia moyo ubarikiwe sana
Bombay
ukikua utaacha na kusahau haya mambo
MUNGU amekuonesha sasa tafuta Mke 9achana na machangu wa ku-SEX hovyo hovyo
mwanamke unayemfuma Guest ujue keshaliwa na si mara ya kwanza hafai ukimuoa ni lazima watarudiana tu
Mimi kuna jamaa alininyanganya Demu wangu wa awali ingawa alishatembea naye, akamuoa kwa MATAMBO sana
leo wameachana baada ya kugundua Demu muachiaji kurudi kwangu akakuta nimemuoa shoga yake na ametulia sasa analialia tuendelee
NAKUOMBA MUACHE KABISA
 
Last edited by a moderator:
Weka namba yake hapa jamvini kama ni kweli nimuulize
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom