Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

ndo ukubwa huo..kuwa uyaone...ndo hayo unayaona sasa tena kwa macho yako....poleeeeee
 
I have to believe that I will never get the right person if I will not let go of the wrong one

Then let her go, u will find someone better than her... Just be strong, this too shall pass.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Katafute kisu zaidi ake.
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
 
pole sana, sasa wewe unajiita bombay afu huvai punjab?

Ujue suruali za modo zinasababisha unaukaji wa mbuyu kuwa mchicha.
 
Yaani wewe ni kijanaume ningekupata kama mimi ningekuonyesha true color rangi zote ungeona bahati yako......
 
Braza ulikuwa unatingisha kibiriti eenh!? Mapenz ni kama siti ya daladala, jifanye kususa wenzako wanakaa fasta!
 
Ahsante Kongosho itabid niendane na uhalisia wajina langu
pole sana, sasa wewe unajiita bombay afu huvai punjab?

Ujue suruali za modo zinasababisha unaukaji wa mbuyu kuwa mchicha.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndo utauona umuhimu wakuwa na mchepuko🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom