Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Habari wana jf,hapa nilipo nipo hoi kwa maumivu yakutendwa! Nibaada yakuwa mbali na maumivu haya kwa takriban mwaka na nusu hatimae leo nimefumania gal wangu akiwa ktk poz za kimaha akitoka guest na mshikaji mwingine,aisee nilikua shocked sana but nilivumilia ili nione mwisho wao,hatimae wametokomea nakuniacha nikiwa nimechanganyikiwa.nimempigia cm kumuuliza ananiambia sababu nimm coz tulikwaruzana kidogo nikamwambia nimetafuta gal mwingine anaenijali ndo akaamua kumtafuta huyo.Mh!within two days tayari kishapata mbadala wangu!Naumia sana na kwasas nafikiri kuwa mbali na wanawake kwa muda kidogo ili akili ikae sawa.Kitu kinachonikera kwasasa ni sms zake za kilaghai akidai eti bado ananipenda.AMAKWELI MAPENZ HAYANA MWENYEWE!

Pole. Siku nyingine usibip kama hutaki kupiga, ona sasa umembip mwenzio kakupigia!
 
Habari wana jf,hapa nilipo nipo hoi kwa maumivu yakutendwa! Nibaada yakuwa mbali na maumivu haya kwa takriban mwaka na nusu hatimae leo nimefumania gal wangu akiwa ktk poz za kimaha akitoka guest na mshikaji mwingine,aisee nilikua shocked sana but nilivumilia ili nione mwisho wao,hatimae wametokomea nakuniacha nikiwa nimechanganyikiwa.nimempigia cm kumuuliza ananiambia sababu nimm coz tulikwaruzana kidogo nikamwambia nimetafuta gal mwingine anaenijali ndo akaamua kumtafuta huyo.Mh!within two days tayari kishapata mbadala wangu!Naumia sana na kwasas nafikiri kuwa mbali na wanawake kwa muda kidogo ili akili ikae sawa.Kitu kinachonikera kwasasa ni sms zake za kilaghai akidai eti bado ananipenda.AMAKWELI MAPENZ HAYANA MWENYEWE!

pole bro. mshukuru sana Mungu amekuepusha na balsa mwanamke Wa hi yo ni shetani. au alianza zamani na huyo mshikaji. na kama hajaanza zamani Naye basi huyo ni Malaya. huwezi badilisha wapenzi within 3 days na ukaanza mapenzi naye . hongera
 
Ahsante kotundia nitaufanyia kazi ushauri wako
kaka ukiskia wanawake ndo hao, hata umpe nini bado atakusaliti mchana kweupee sijui mioyo yao ikoje.
Nakushauri tulia kwanza wala usiendelee nae jifunze kumkosa bila hivyo utashangaa umemsamehe leo kesho anapigwa tena gem na mtu mwingine hapo utaumia zaidi. Vuta subra pata nafasi ya kumuomba mungu akujaalie ustahimilivu yataisha tu hasa kwa kuwa yanawakuta watu wengi wewe sio wa kwanza wala hautakuwa wa mwisho, ukitulia mapenzi mapya yatachipua moyoni mwako na utafurahi tena
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom