min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 45,962
- 126,396
Kigoma ukikutana na fimbo ni fimbo haswaSina la kusema mana cjawah kuwa na demu wa Kigoma 😎
Kigoma ukikutana na fimbo ni fimbo haswaSina la kusema mana cjawah kuwa na demu wa Kigoma 😎
Hakika Uganda kuna wanawake wa maana SanaUganda wazuri sana kuna pisi moja Black beut nilisoma nayo imekamilika kinouma macho ya kusinzia dimples nywele ndefu , shepnu matata na kimo cha twiga, mwanya, halafu ina tembea kwa catwalk matata sana
Kigoma kuna maeneo kama Ujiji,Mwandiga Na Manyovu kuna pisi za kuvutia barabara .Nimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.
Sema wana vaa mikato flani hivi , usipo kuwa makini unaweza nyetuka live.Hakika Uganda kuna wanawake wa maana Sana
Kigoma oyeeee 😁Nimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.
Unajua Sana kusifia.Uganda wazuri sana kuna pisi moja Black beut nilisoma nayo imekamilika kinouma macho ya kusinzia dimples nywele ndefu , shepnu matata na kimo cha twiga, mwanya, halafu ina tembea kwa catwalk matata sana
Kigoma nilishakutana na pisi nikaona inanitaka kumbe ni pozi lake tu , siku hiyo niliaibika kinoumaKigoma kuna maeneo kama Ujiji,Mwandiga Na Manyovu kuna pisi za kuvutia barabara .
Nikiwa bk niliwai kwenda hapo Kampala kushangaa shangaa.Ukipata nauli Tembelea. Uganda kwa Museven baada ya hapo utabaki kutafuta hela tu na sio wanawake
Sitak kuamini hilo 😂Kigoma ukikutana na fimbo ni fimbo haswa
Kigoma oyeeee 😁
Nilicho jifunza msukuma rangi nyeupe kwa mtoto wakike ndio tafsiri na kipimo Cha uzuriii
Wenyewe Wana amini mwanamke mweupe ndio mzuriiii.
Mimi pia ni mweupe na hata watu wengi hupenda kuniita BROTHER WHITE..
Ila wife wangu ni mweusi sio Sana Ila sio mweupe so zamani KABLA sikaoa nilikuaga sivutiwii na ngozii nyeusii kabisa Ila now nimewazoea na ananivutia Sana
So Kuna watu wenyewe tafsiri ya uzuriii kwao ni kua weupe ndio uzuriii kwao
Mademu weusi wanapepo yao...kwanza wana kajoto flan amazing YodaNimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.
Haujaijua Tanzania bwashe , huko singida zipo fimbo nyeupe kali ila kigoma unakutana na mlimbwende haswa , ulishawahi kutana na pisi inapozi kama inakutaka ?Sitak kuamini hilo 😂
Pole mkuu, shida ya Kigoma totoz wengi hupenda sana Ndoa ingawa kwa Siku hizi pameanza kuchangamka.Kigoma nilishakutana na pisi nikaona inanitaka kumbe ni pozi lake tu , siku hiyo niliaibika kinouma
Ahaaah wewe jamaaaSema wana vaa mikato flani hivi , usipo kuwa makini unaweza nyetuka live.
Mkijifungia hapo usukumani mnaona ni duniani nzima bwashee 😆Kiukweli hakuna MTU ambaye angependa kuzaliwa mweusi Ila lazima ujikubali .
Wanawake wenyewe wanajua huu ukweli.
Rangi ya mtume inapendwa dunia nzima
KabisaPole mkuu, shida ya Kigoma totoz wengi hupenda sana Ndoa ingawa kwa Siku hizi pameanza kuchangamka.
Wasukuma huwa hawawezi kutofautisha uzuri na weupe,wenyewe kila cheupe kwao huwa ni kizuri.Msukuma akisema mwanamke mzuri una mpuuzia tu mda mwingine unakuta ni mweupe tu wakawaida sana🤔
Wanawake wenyewe wanapenda wanaume weupeMkijifungia hapo usukumani mnaona ni duniani nzima bwashee 😆
Kuna pisi ya karagwe kwa wanyambo nazo zimenyooka hatariAhaaah wewe jamaaa