Aisee!!, Saizi asubuhi asubuhi nimemaliza elfu saba(7,000)

Ungekua na mke hiyo hela mngekula kuanzia asubuhi mpk usiku. Acha kula magengeni oa mke angenunua nusu kila ya nyama ingekula supu mchana mpunga kitenesi usiku pilau la kizushi

Mabachela mnafeli sana
Funzadume mpunga kitenesi ndio nini? 😆😆
 
Dah....kihisabati...kama usipokula chochote asubuhi...basi kwa wiki utatengeneza elfu50 yako safi. ...ambayo kwa mwaka kama ukiweka benki itakuwa 2.6m....kama ukikomaa kwa miaka 20 utakuwa na takribani milioni 52...pesa ambayo unaweza mng'oa dem yoyote hapa bongo....uamuzi ni wako
 
Daaa

Sijui ni anasa

Nimekula supu ya 3000/= bakuri kubwa kabisa, chapati 3(900/=)

Tamaa zikaja, nikaagiza juice ya matunda ya baridi hapa 1,000/=.,maji ya baridi 1,000/=

Nikanunua vocha ya 1000/=

Daa nimerudia matumizi yote sujaona nilipokosea kabisa, ila hela kubwa sanaa hio.

Bado mchana sijala, usiku bado ,bado kuna mpira jioni Man Utd inabidi nikaangalie (hapa inabidi niwe natumia mo energy ya barid nikiwa naangalia mpira hakuna namna )

Aisee inabidi leo nisimpigie demu wangu simu kabisa, asije nipiga mwiba mwingine!

Nilikuwa nimejiwekea kwa siku nisitumie zaidi ya 5000/= ndan ya uchumi huu wa magufuli(kazi za kuunga unga) naona mipango inafeli kabisa

Uzi tayar
Kama ni anasa usile uone kama utaletewa chakula au uone kama utaishi!!
 
Siku moja niliona kuna dada katweet kuwa mtu asubuhi anamalizaje elfu 2 kwa breakfast? Yaani yeye anakula vitumbua na chapati sijui.

Moyoni nikajisemea huyu hajui vijiwe vyetu vya chai asubuhi watu tunafanyaga nini kabisaaa. Chapati 2 na supu ni elfu 2,500 pekee. Sijanywa juice, sijanywa maji.
 
Daaa

Sijui ni anasa

Nimekula supu ya 3000/= bakuri kubwa kabisa, chapati 3(900/=)

Tamaa zikaja, nikaagiza juice ya matunda ya baridi hapa 1,000/=.,maji ya baridi 1,000/=

Nikanunua vocha ya 1000/=

Daa nimerudia matumizi yote sujaona nilipokosea kabisa, ila hela kubwa sanaa hio.

Bado mchana sijala, usiku bado ,bado kuna mpira jioni Man Utd inabidi nikaangalie (hapa inabidi niwe natumia mo energy ya barid nikiwa naangalia mpira hakuna namna )

Aisee inabidi leo nisimpigie demu wangu simu kabisa, asije nipiga mwiba mwingine!

Nilikuwa nimejiwekea kwa siku nisitumie zaidi ya 5000/= ndan ya uchumi huu wa magufuli(kazi za kuunga unga) naona mipango inafeli kabisa

Uzi tayar
Jifunze kupika home na kuwa mbunifu, unaweza pita hata week haujagusa sent yako. Hiyo ndio Siri ya mafanikio
 
Mkui hapo sio kuvimbewa ,ndio mwili unakuwa na balance

Sijajua kwanin ,ila mimi nakula sanaa ,nakuja kujuta badae
Ukiona mwanaume ana kitambi wakati familia imekondeana jua huyo ni mlafi na mchoyo anajipenda zaidi yeye kuliko familia. Ndio maana wanaume wengi viriba tumbo japo pia wapo na wamama!
 
Dah....kihisabati...kama usipokula chochote asubuhi...basi kwa wiki utatengeneza elfu50 yako safi. ...ambayo kwa mwaka kama ukiweka benki itakuwa 2.6m....kama ukikomaa kwa miaka 20 utakuwa na takribani milioni 52...pesa ambayo unaweza mng'oa dem yoyote hapa bongo....uamuzi ni wako
 
Siku moja niliona kuna dada katweet kuwa mtu asubuhi anamalizaje elfu 2 kwa breakfast? Yaani yeye anakula vitumbua na chapati sijui.

Moyoni nikajisemea huyu hajui vijiwe vyetu vya chai asubuhi watu tunafanyaga nini kabisaaa. Chapati 2 na supu ni elfu 2,500 pekee. Sijanywa juice, sijanywa maji.
Kuna sehemu moja hapa karibu na ushirika towers, kuna mgahawa wa wadada wa kichaga, wanaingia watumishi wa umma na maofisi ya pale jirani kunywa chai, lunch...

Pale ndio utajua watu wanakula mzee, supu ya samaki/sangara/sato au kuku, chapati mbili, mayai ya kukaanga, chai ya maziwa. Akimaliza anachukua juice nzito ya 2,000 na maji ya 1,000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom