Aisee!!, Saizi asubuhi asubuhi nimemaliza elfu saba(7,000)

Kusema ukweli wa Mungu mabachela chakula kinatumalizia hela.

Mimi binafsi, nikijibana sana mpaka nitoke damu najikuta 15,000 imeisha kwa siku moja. Huu ni msosi tu
 
Hii pesa watu tunakula siku mbili maan swal la kunywa chai tumeshasahau tunapamban na milo miwili tu
 
Mbona 5000 ingetosha kabisa kula vyote hvoo..

Ngano robo 300 ( nilipo kg ni 1200)
Nyama robo 1500( nilipo kg ni 6000)
Parachichi na embe 1000( kwaajili ya juice)
Maji 1000
Vocha 1000
Jumla =4800/=
Kwenye 7000 umesave 2200 .
Mkaa, mafuta,sukari umesahau
 
Kipato chako ndo kina determine matumizi.. Na kwa izo hesabu ulizopiga hapo, kuna sehemu ungeweza kutumia pesa chin ya apo na kupata huduma ya chakula hio hio.
Ila pongez kwako kuufikia uchumi wa kati.
 
Daaa

Sijui ni anasa

Nimekula supu ya 3000/= bakuri kubwa kabisa, chapati 3(900/=)

Tamaa zikaja, nikaagiza juice ya matunda ya baridi hapa 1,000/= maji ya baridi 1,000/=

Nikanunua vocha ya 1000/=

Daa nimerudia matumizi yote sijaona nilipokosea kabisa, ila hela kubwa sanaa hio.

Bado mchana sijala, usiku bado, bado kuna mpira jioni Man Utd inabidi nikaangalie (hapa inabidi niwe natumia mo energy ya baridi nikiwa naangalia mpira hakuna namna)

Aisee inabidi leo nisimpigie demu wangu simu kabisa, asije nipiga mwiba mwingine!

Nilikuwa nimejiwekea kwa siku nisitumie zaidi ya 5000/= ndani ya uchumi huu wa Magufuli(kazi za kuunga unga) naona mipango inafeli kabisa

Uzi tayar
Suluhisho ni kuoa, japokuwa unaweza kuona ni ujinga,

Mchele kilo 1500/=
Nyama robo 2500/=
Viungo 1000/=
Mafuta 500
Jumla 5500

Hapo mnakula mchana na usiku.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Daaa

Sijui ni anasa

Nimekula supu ya 3000/= bakuri kubwa kabisa, chapati 3(900/=)

Tamaa zikaja, nikaagiza juice ya matunda ya baridi hapa 1,000/= maji ya baridi 1,000/=

Nikanunua vocha ya 1000/=

Daa nimerudia matumizi yote sijaona nilipokosea kabisa, ila hela kubwa sanaa hio.

Bado mchana sijala, usiku bado, bado kuna mpira jioni Man Utd inabidi nikaangalie (hapa inabidi niwe natumia mo energy ya baridi nikiwa naangalia mpira hakuna namna)

Aisee inabidi leo nisimpigie demu wangu simu kabisa, asije nipiga mwiba mwingine!

Nilikuwa nimejiwekea kwa siku nisitumie zaidi ya 5000/= ndani ya uchumi huu wa Magufuli(kazi za kuunga unga) naona mipango inafeli kabisa

Uzi tayar
Hizo ni anasa mkuu...Ungenunua Muhogo wa 100 miwili na chai ya mia!! Jumla 300 na Maji ya kwao yale ya kwenye jagi...Vocha ungenunua ya jefero.(Tsh 500).
 
7000 /buku saba ni posho ya wenzio wanalipwa kwa siku wale vijana wa Lumumba
Kina digba sowey,magu2016,elitwege,nk
 
Daaa

Sijui ni anasa

Nimekula supu ya 3000/= bakuri kubwa kabisa, chapati 3(900/=)

Tamaa zikaja, nikaagiza juice ya matunda ya baridi hapa 1,000/= maji ya baridi 1,000/=

Nikanunua vocha ya 1000/=

Daa nimerudia matumizi yote sijaona nilipokosea kabisa, ila hela kubwa sanaa hio.

Bado mchana sijala, usiku bado, bado kuna mpira jioni Man Utd inabidi nikaangalie (hapa inabidi niwe natumia mo energy ya baridi nikiwa naangalia mpira hakuna namna)

Aisee inabidi leo nisimpigie demu wangu simu kabisa, asije nipiga mwiba mwingine!

Nilikuwa nimejiwekea kwa siku nisitumie zaidi ya 5000/= ndani ya uchumi huu wa Magufuli(kazi za kuunga unga) naona mipango inafeli kabisa

Uzi tayar
Wacha 7000 Mkuu, ukitoka na laki hurudi nayo nyumbani...hii Serikali ya Kihutu ina majini ya kuiba hela wala si mzaha
 
Wewe mbn kawaida tuh mm hata buku 5000 inakata kwnye chai tuh ...
Natka nianze kula kweny vibanda umiza
 
Daaa

Sijui ni anasa

Nimekula supu ya 3000/= bakuri kubwa kabisa, chapati 3(900/=)

Tamaa zikaja, nikaagiza juice ya matunda ya baridi hapa 1,000/= maji ya baridi 1,000/=

Nikanunua vocha ya 1000/=

Daa nimerudia matumizi yote sijaona nilipokosea kabisa, ila hela kubwa sanaa hio.

Bado mchana sijala, usiku bado, bado kuna mpira jioni Man Utd inabidi nikaangalie (hapa inabidi niwe natumia mo energy ya baridi nikiwa naangalia mpira hakuna namna)

Aisee inabidi leo nisimpigie demu wangu simu kabisa, asije nipiga mwiba mwingine!

Nilikuwa nimejiwekea kwa siku nisitumie zaidi ya 5000/= ndani ya uchumi huu wa Magufuli(kazi za kuunga unga) naona mipango inafeli kabisa

Uzi tayar
Mkuu huku tumepigika 7,000 ujue mtaji huo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom