Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

habari wakuu.!
Juzi tulikua ofisi flani hivi ya tra tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja v8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia tukaitikia then akatuulza kwamba ""tunakifahamu kiwanda cha chemi cotex?"" tukamuuliza kile cha maeneo ya makonde, akasema ndio, sasa kwa vile na sisi ni wenyeji wa maeneo hayo na tulikua tunapita njia hiyo hiyo tukasema tuende nae, tukakwea, tulipofika maeneo yale akasema kuna hela nalipa kwa mkurugenzi wa kiwanda ili anipelekee products zake k/koo akalipa then tukaamsha jamaa alikua anatupigisha story kama kawa anasema yeye anapenda sana vjana wachapa kazi, tulipofika maeneo ya mbuyuni tukamwambia "bro sisi tunaishi salasala kama vp tushushe hapa" akasema poa,sasa mda tunataka kushuka akachukua simu yangu akasema ngoja niwaandikie namba yangu ili siku nyingine tunaweza kufanya hata biashara tukasema poa halafu akatupa hela ya boda boda elfu 40 sasa jana akanipigia simu anasema njooni ofisin kwangu, nikamuuliza kuna nn brother, akasema natafta vijana wa kazi afu mje na vyeti vyenu, nikamwambia kwamba mimi ndo kwanza nimemaliza form six juzi sina cheti, akasema hata leaving njoo nayo, nikamshitua mshikaj wangu tukaenda, tulipofika tukaingia ofisin kwake tukaa, sasa cha kushangaza tulimkuta yupo kifua wazi na kibukuta akainuka akaja akaanza kufungua zipu yangu, nikamsukuma, akaniambia nitawapa laki tano kila mtu, nataka mnifire,! Shit, nikamwambia siku nyingine, tukawa tumeondoka nilipofka home nikampigia simu nikamwambia huo ushenzi siwezi kufanya,. Kukaa kidogo akatuma laki mbili na 20 tigo pesa, nikamwambia sihitaji pesa kwa ujinga huo. Sasa leo nimebadilisha namba kwaajili ya huyu jamaa. Sasa mimi bado najiuliza inakuaje mtu mpk anakuwa shoga jaman maana kwa jinsi jamaa alivyo he looks like a real man kumbe ni gay, aise nawasihi vijana wenzangu tusishawishike kufanya upuuzi kama huo kwasababu tu ya hela, tulizike na vidogo tulivyo navyo.!

Mtanisamehe kwa thread ndefu.
ushapiga mzigo unakija kumchafua mwenzio mbona ukugoma kupokea hela....

Kuna mtu anakupa alf 40"000 hivihvi babayakohuyo..mngezikataa toka kmnapewa lift usingeupiga mzigo maana asingekusumbua

vya bure garama mpwa..unahisi madadazetu (exljf) wanapenda kuliwa ovyo..wanaanzishwaga na kupewa 20alf.njoo offisini..wengine wanamaliza ofisini humohumo unashangaa dadako anarudi hme amefurahi kapata job..usiulize kapataje...
 
Tena mtu avue nguo ofisini, hiyo ofisi alikua peke yake, hakuna huduma zinazoendelea? Ina maana alishindwa pesa ya guest wakati umesema ni tajiri. Napata maswali mengi kuliko majibu. Haya mambo yanafanyika lakini si kwa kiwango alichozungumza mleta mada. Tena mtu ana pesa zake akupe wewe Laki 5 wakati kuna vijana wanatafuta 20000 anamaliza kazi. Dogo katupikia Milo kabisa hii

Kweli hii gahawa ni ya moto sana, kuna mazingira hayajakaa sawa hapa. Mtu kuvua nguo ofisini mhhhh!

Ila haya mambo yapo sana. Kama sikosei mwaka 2013 nilienda geita kwa ajili ya mambo yangu. Ikabidi nimtafute rafiki angu mmoja hivi nilimaliza nae chuo kwa ajili ya kampani. Nikamuelekeza nilikokuwa akaniahidi akitoka kazini atakuja kunisabahi. Ilifika saa 12 bado hajaja nikaamua zangu kujipumzisha kitandani, muda kidogo mlango ukagongwa nilipofungua nikamkuta akiwa mlangoni anaoneka kupanic.
Nikamkaribisha baada ya kushusha pumzi mbili tatu akanihadithia yaliyomkuta. Kumbe alikuwa amebananishwa na rafiki ake nyumbani kwake baada ya kumwambia akamsalimie kwakuwa anaumwa (huyo rafiki ake). Baada ya kufika akapitiliza chumbani akamkuta rafiki ake akiwa amefunga taulo kiunoni amevaa na vest, huko ndo mambo yalipoanzia alikuwa akimuomba jamaa amshughulikie walisumbuana almost masaa mawili. Mpaka alipofanikiwa kuchomoka.
Nilishangaa sana na kusikitika mwishowe mpaka leo hii huwa namtania ndio maana ulinusurika kubakwa! Hahhahah
 
Wewe hujapata malezi kamili ya wazazi wako hasa baba yako.
Hapo kwenye bluu kulikuwa na haja ya kuyasema hayo kweli? au unadhani kila mwanaume humu anapenda huo ushoga unaousifia? kuwa makini kijana, sio kila king'aacho ni dhahabu. Kama unaweza kumuingilia mwanaume mwenzako mwenye kila kitu sawa na wewe utashindwaje kumuingilia baba yako au hata mama yako?

Yaani unaongea kama chizi eti angepata hasara gani kama angemuingilia kinyume na maumbile mwanaume mwenzake! hivi mtu akikuachia maradhi yasiyo na tiba utamlaumu nani? Poor mind.

umemjibu vizuri sana mkuu
 
huyu anajulikana humu alivyo, we ongea nae tu kiupole!! Ataelewa.


Huyo mjinga , anawa sema watoto wa kishua kwamba ni mashoga, wakati hajui lolote kuhusu watoto wa kishua, mtu mwenyewe anakuala dagaa wakavu halafu eti anajifanya ana wajua watoto wa kishua kihivyo, Nimemponda huko privae kwamba awakome watoto wakishua kudai ni mashoga wakati hawajui na hana ubavu wa kuwasogelea ,mjinga sana .Tatizo nimemponda sana ndio maan ana hasira anakuja potosha habari hapa .
 
Huyo mjinga , anawa sema watoto wa kishua kwamba ni mashoga, wakati hajui lolote kuhusu watoto wa kishua, mtu mwenyewe anakuala dagaa wakavu halafu eti anajifanya ana wajua watoto wa kishua kihivyo, Nimemponda huko privae kwamba awakome watoto wakishua kudai ni mashoga wakati hawajui na hana ubavu wa kuwasogelea ,mjinga sana .Tatizo nimemponda sana ndio maan ana hasira anakuja potosha habari hapa .


Mmmmmmh na wewe nae ni tatizo!! kwann usisemee hapahapa hayo maneno???
 
Nadhani utakua kweli shoga maana hata uandishi wako unaonekana wazi.alafu bila shaka utakua na tatizo mtu akila ugali dagaa anakufa?mbona ni chakula changu hicho namba moja na hivyo vyakula unavoona vizur hakuna hata kinachomshinda mtu..we shoga hakuna jipya kwenye ulimwengu huu yote ni marudio tu sijui kwa akili yako ya mkia wa mbuzi ulishawahi tafakali hilo..?
Huyo mjinga , anawa sema watoto wa kishua kwamba ni mashoga, wakati hajui lolote kuhusu watoto wa kishua, mtu mwenyewe anakuala dagaa wakavu halafu eti anajifanya ana wajua watoto wa kishua kihivyo, Nimemponda huko privae kwamba awakome watoto wakishua kudai ni mashoga wakati hawajui na hana ubavu wa kuwasogelea ,mjinga sana .Tatizo nimemponda sana ndio maan ana hasira anakuja potosha habari hapa .
 
Nadhani utakua kweli shoga maana hata uandishi wako unaonekana wazi.alafu bila shaka utakua na tatizo mtu akila ugali dagaa anakufa?mbona ni chakula changu hicho namba moja na hivyo vyakula unavoona vizur hakuna hata kinachomshinda mtu..we shoga hakuna jipya kwenye ulimwengu huu yote ni marudio tu sijui kwa akili yako ya mkia wa mbuzi ulishawahi tafakali hilo..?

Huyu ni shoga yeye mwenyewe kakiri kwamba huwa anafirw* na anapenda sana, na haoi, mmmmh JF ina mambo.

mkuu hili jamaa shoga kweli maana limesema lenyewe kuwa linashikishwa ukuta.

Nimepitia baadhi ya thread zake na nikakuta hayo, hivyo Isaack Newton amesema ukweli mtupu, kwahiyo wale mliokuwa hamjui ni kuwa huyu Mpole sana ni mwanaume anayeingiliwa kimwili na mwanaume mwenzake(shoga/gay)
 
Last edited by a moderator:
akiendelea kukusumbua mwambie kuwa UTAMTANGAZA...hatokusumbua tena..
 
Mkuu mimi hao wanaotoa CHOO ndo nawataka sana long time nilikuwa namtandikaga jamaa fulani muhindi alikuwa anasimamia ujenzi Ghorofa fulani karibu na Muhimbili naenda pale tunaingia moja ya Chumba namkung'uta vizuri ananipa hela kidogo nachomoka, baadae nikaanza na jamaa fulani (Mwanakwaya Azania Front), sasa kuna dogo fulani ananihitaji japo nasita sana. Kiukweli DAWASCO ni pazuri ukipata ambae hajamegwa sana mpaka kukalegea
 
Habari wakuu.!
Juzi tulikua ofisi flani hivi ya TRA tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja V8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia tukaitikia then akatuulza kwamba ""tunakifahamu kiwanda cha chemi cotex?"" tukamuuliza kile cha maeneo ya makonde, akasema ndio, sasa kwa vile na sisi ni wenyeji wa maeneo hayo na tulikua tunapita njia hiyo hiyo tukasema tuende nae, tukakwea, tulipofika maeneo yale akasema kuna hela nalipa kwa mkurugenzi wa kiwanda ili anipelekee products zake k/koo akalipa then tukaamsha jamaa alikua anatupigisha story kama kawa anasema yeye anapenda sana vjana wachapa kazi, tulipofika maeneo ya mbuyuni tukamwambia "bro sisi tunaishi salasala kama vp tushushe hapa" akasema poa,sasa mda tunataka kushuka akachukua simu yangu akasema ngoja niwaandikie namba yangu ili siku nyingine tunaweza kufanya hata biashara tukasema poa halafu akatupa hela ya boda boda elfu 40 sasa jana akanipigia simu anasema njooni ofisin kwangu, nikamuuliza kuna nn brother, akasema natafta vijana wa kazi afu mje na vyeti vyenu, nikamwambia kwamba mimi ndo kwanza nimemaliza form six juzi sina cheti, akasema hata leaving njoo nayo, nikamshitua mshikaj wangu tukaenda, tulipofika tukaingia ofisin kwake tukaa, sasa cha kushangaza tulimkuta yupo kifua wazi na kibukuta akainuka akaja akaanza kufungua zipu yangu, nikamsukuma, akaniambia nitawapa laki tano kila mtu, nataka mnifire,! Shit, nikamwambia siku nyingine, tukawa tumeondoka nilipofka home nikampigia simu nikamwambia huo ushenzi siwezi kufanya,. Kukaa kidogo akatuma laki mbili na 20 tigo pesa, nikamwambia sihitaji pesa kwa ujinga huo. Sasa leo nimebadilisha namba kwaajili ya huyu jamaa. Sasa mimi bado najiuliza inakuaje mtu mpk anakuwa shoga jaman maana kwa jinsi jamaa alivyo he looks like a real man kumbe ni gay, aise nawasihi vijana wenzangu tusishawishike kufanya upuuzi kama huo kwasababu tu ya hela, tulizike na vidogo tulivyo navyo.!

Mtanisamehe kwa thread ndefu.

Wewe mtoa mada ni muongo form six wenzako wapo jeshini we upo bize na simu yako kutunga uongo
 
Wewe mtoa mada ni muongo form six wenzako wapo jeshini we upo bize na simu yako kutunga uongo

Sio kila mhitimu wa kidato cha sita yupo jkt sasa kuna watu hawakwenda kwa kuwa majina yao hayakuonekana kwenye selection ya jkt na kuna wale ambao wameamua wasiende sasa hadi baadae baada ya kuhitimu chuo.
 
Wewe mtoa mada ni muongo form six wenzako wapo jeshini we upo bize na simu yako kutunga uongo

Nani kakwambia form 6 wote wameenda depo mbuzi ww? Au na ww ndo wale wale kina MPOLE SANA.
 
Back
Top Bottom