Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Wife BADILI TABIA hebu kuja hapa unambie kama hii ni chai au kahawa....
Kwa hiyo mie sio mke wako Asprin
Last edited by a moderator:
Wife BADILI TABIA hebu kuja hapa unambie kama hii ni chai au kahawa....
ulitoka salama mkuu? teh tehthose guys are very trick,lilinikuta nikiwa mbele nilikutana na mkenya nikajua home boy
duuuuu,financially alikuwa vizuri sana kijana mdogo kumliki BMW si mchezo
Weka no hiyo acha longo!
kwangu tu sichojoi kizembe naakikisha hakuna vilipuzi teh teh
Aise mkuu namba yake niliifuta kabsa maana nilikua sitaki hata kuiona.
Na zile laki mbili?
nilimrudishia pesa yake aliyotuma tigo pesa nikamwambia sihitaji pesa,mkuu maana ni pesa haramu kwangu naridhika na pesa zangu.
Wife BADILI TABIA hebu kuja hapa unambie kama hii ni chai au kahawa....
Hawa watu wapo na wanakuwaga na mihemko ya juu sana..kuna mmoja nilikuwa nae ofisi moja alikuwa hachagui mpaka walinzi na wapiga debe. Mungu atuepushie kwakweli...msidharau kabisa hii thread hawa jamaa wakipata hamu hawana haya kabisa.
duh sijui malezi au mazingira yanachangia halafu watoto wa kishua tu ndo wanakua na tabia hizi mtoto wa maisha ya kudanki kama yangu huwezi kuwa shoga
yesu kachelewa foleni ndefuyesu rudi basi....
mkuu nafikiri mada hukuielewa vizuri, ofisi kwanza ni ya kwake, yeye ndo miliki wa kampuni na ndani ya ofisi yeye kama bosi hukaa peke yake, na kama unavyojua mabosi wengi wakiwa ofisin, mtu huwezi kuingia moja kwa moja ofisin kwake bila kuonana na wafanya kazi wake wa chini, na sisi tulipofika hatukuingia ndan moja kwa moja, secretary wake alimpigia simu bosi-shoga ndo akaturuhusu tukaingia ndo tukamkuta kajimwaga vile na kwasababu alijua kuwa sisi ndo tunaingia nahisi alivua nguo haraka haraka akizani atafanikiwa upuuzii wake,. Na suala la pesa hukunielewa,,! Nilisema baada ya sisi kukataa kufanya ufirauni ule akawa anatubembeleza ana sema atatupa laki tano kila mtu ili kwa mantiki hiyo tuwe tunamfir* kila akitaka, pesa hatukuchukua siku hiyo, ila baada ya kufika nyumban akatuma laki mbili na 20 tigo pesa ili tugawane, na mimi bila kuchelewa nikampigia simu nikamwambia hatuna haja na pesa yake na tukamrudishia sasa akawa anang'ang'aniza ndo maana nikaamua kubadili namba ili kuepuka na huu upumbavu.Nafikiri umenielewa.