Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,533
Duh Mukundu
aisee, yan mwanaume mwenzio unamwambia akufanye ujinga kama huo seriously aaaaaah hapana kwa kwel.
Huyo mjinga , anawa sema watoto wa kishua kwamba ni mashoga, wakati hajui lolote kuhusu watoto wa kishua, mtu mwenyewe anakuala dagaa wakavu halafu eti anajifanya ana wajua watoto wa kishua kihivyo, Nimemponda huko privae kwamba awakome watoto wakishua kudai ni mashoga wakati hawajui na hana ubavu wa kuwasogelea ,mjinga sana .Tatizo nimemponda sana ndio maan ana hasira anakuja potosha habari hapa .
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...24-naomba-kujua-ada-ya-makongo-sekondari.htmlSio kila mhitimu wa kidato cha sita yupo jkt sasa kuna watu hawakwenda kwa kuwa majina yao hayakuonekana kwenye selection ya jkt na kuna wale ambao wameamua wasiende sasa hadi baadae baada ya kuhitimu chuo.
Wewe nawe hueleweki kama alivyosema Masai Dada angalia hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/475183-diploma-in-education.htmlNashangaa watu wengine wanashabikia huo upumbavu kisa laki tano seriously,,! Laki tano ni hela ndogo sanaa. Bora umesema MADAM
Duh Mukundu
Wewe nawe hueleweki kama alivyosema Masai Dada angalia hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/475183-diploma-in-education.html
Wewe nawe hueleweki kama alivyosema Masai Dada angalia hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/475183-diploma-in-education.html
Ninavyovutiwa na wadada wazuri halafu jimwanamume linijie eti nilinanilii, thubutu. Natamani watu wa aina hiyo wangetangulizwa mbele za haki mapeema. Ila basi Mungu ndiyo mwamuzi.
Certificate in education Na sasa unasema umemaliza form six. JielezeKwahiyo hiyo inahusu nini? Nina wasi wasi na wewe kama sio TEAM GAYS.
Asante Kwa ushauri ila ukirudia sred zako za nyuma utaona kuwa wewe ni mtu wa fix. Hivyo hii story ni uongo mtupu. Au ni story za vijiweni tumimi mpaka sa hivi sijakuelewa, hebu chat na mwenzako MPOLE SANA kwenye PM.
mwe..pole..kama yumo humu kashakujua, atakuPM sasa hviii
Ulitaka kusema nini mkuu? au unamaanisha kuwa mtu akiuliza kitu basi ni lazima awe ni yeye anayekihitaji? kama anatudanganya kuna tatizo gani tukichangia kutokana na wazo husika bila kujali ni la kweli au uongo maana hata wewe unajua kuwa hayo mambo yapo.
Inbox namba yake nimfanyie maombi
Mkuu watu hawa wapo wengi sana hasa watoto wa mitaani wanaolala mitaani hukokariakoo mara nyingi huwa wanabakwa na waaarabu wa huko man kaa mbali na hizi people