gari lenyewe sasa, wakubwa hawalipi,wadogo wanalipa, halafu wanafanya kuwa nila kwao TU! kama ni staff bus,kwanini mtupakie? shukeni na wengine wapande Oct 2015.
Na ubabe upo hata ukijifanya unataka kupanda lile kuukuu la enzi ya TANGANYIKA hatukuruhusu kaa humo humo panya road wakiingia tuite wakiingia mapapa fisadi tulia na utabasamu hata kama siti yako ya kusimama itapungua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.