Huyu aje Zanzibar halafua afanye hivyo aone.
alipofanya hivyo afande sele walisema bangi!!!na hawa nao...
mmmh kweli yaweza kuwa viroba ila huenda ni zaidi ya viroba!!!Viroba !
labda ana maanisha unaweza kumpata kwa tigo!!ha ha ha,just for funny brother RiwaBora hata Afande Sele hakugeuka nyuma wala kubong'oa...narudia swali lililoulizwa hapo juu...hii style ili iweje? anajaribu kutuambia nini?
ha ha ha ha!miaka ya tukunyema imeshapita lkn!!wakati huo dunia ilikuwa dunia si hii ya leo!!!!maumivu yakizidi muone daktari!halafu mnataka tuisahau sambulumaaa na tukunyema,i see mfanye kazi sana!
mmmh kweli yaweza kuwa viroba ila huenda ni zaidi ya viroba!!!
Wapi Mr Nicekalewa sifa.
WAPI mr misifa.
wapi nakaaay
wapi atutakuona tena milele
wapi GK