Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

Aisee Diamond mbona sasa unaanza kubong'oa!
Staili zingine za shoo huwaga zinatisha.

dddd.jpg
Mabwabwa matupu hayo!
 


Kwa wale walioondoka mapema kwenye show ya Fiesta usiku wa kuamkia Jumapili baada tu ya Rick Ross kumaliza performance yake, walikosa kujionea kituko kilichofanywa na Diamond Platnumz. Ama wengine wamekuja tu kuona picha zilizosambaa kwenye internet

Akiwa stage na madancer wake wakati show imepamba moto, Diamond aliamua kuvua na kuonesha boxer yake nyeupe kama ishara kuwa yeye na madansa wake ni ‘wasafi’ kiasi cha kutoogopa kuionesha hadharani.

Bahati mbaya watanzania wamemuelewa tofauti. Kitendo hicho kimewakera wengi.

Kwa mujibu wa maoni tuliyoyapata kupitia ukurasa wetu wa Facebook baada ya jana kuweka picha hiyo, wengi wameitafsiri picha hiyo kama ishara ya ‘ushoga’ na huku wengine wakienda mbali zaidi na kuibua tena mada ya ufreemason. Haya ni baadhi ya maoni.

“Wanaonyesha kuwa na mapepo hao maana walianza na kuvua magoti hadi mashati wakabakiza suruali , sasa wamebakiza boxer unadhani wakishatoa boxer watabakiza nini, huo ni ushirikina na muda si mrefu watahumbuka hao maana naona ule mwisho wao umeshafika; hizo ni akili ama matope…wana akili ama matahairaaaaa1.”

“Ndio maana wazee wetu hawaupend kuusikiliza huu muzk munaoita bongo flava. Uchafu kama huu mnafanya mbele za watu au umaarufu unatafutwa kwa kila njia,basi huyo tanzanite awe john elton wa bongo.”

“Lbd alielewa tofauti,alpockia MUONEKANO MPYA BURUDAN ILEILE ndani ya fiesta!!nd mana akafanya hcho k2ko lkn pia mayb woz search and luking fo huzband! nadhan co rdhk nyota uyu.teh teh teh shame upon hiz unimpressive kboxa.”



“Huu ni upuuzi wa wasanii wetu. Yaani huyu ndiye anayeitwa staa ambaye hana hata chembe ya adabu?? Na ninyi mnaangalia tu mnamshangilia???”

“OH! Lord hav marcy on this young man.This is devilish coz there s no any gud motivation to build up our society.Kwanini wasanii wa africa wanapenda kuiga utamaduni wa wa zungu? ambao haujengi jamii ye2 bali ina teketeza.kama we ni muimbaji kuja na stail ya utamaduni wako dnt promote someones cultur,mbona wao hawapromot utamaduni wenu,b yoself dnt try b somebody else,the moment u try to imitate frm someone u ll mess up coz u ll never b that person.U were created as a unique person so b u.”

“Nampenda diamond lakn kwa mambo haya mmh…. hapana kwakweli, sa kulikua na haja gani ya kupanda jukwaan na nguo ta2 c wangeziacha2 home wakaingia na hivo vchup au ndo vilikua vpya!!”



“What are they doing???/ is Diamond Freemasons..coz what they are doing is inhuman..i don’t know that what am thinking..if dancing is like that then we don’t have to…are u feeling happy watching something like this…damn Diamond.”

“Soko la entertainment tz linagonga mlango wa shetani…bado mtayaona ya laana zaidi ili wafanikiwe..ni huruma sana coz hao waliotangulia kuingiza soko lao la burudani mikononi mwa shetani wanajuta na 2nashuhudia wanavyoendeshwa na wengine wakituonya kwa bidii,ila wabongo ndo wanakimbilia huko..they’ll sell their soul for money and fame..watch out fo that!”


[h=2]UMEZISOMA HIZI?[/h]
 
msicho elewa nini great thinkers... anapakuliwa tope huyooo..........
 
astaghafulilah! na haya mambo pia wanaiga majuu au! maana wabongo ucopy na kupaste! hawana muda wa kuedit!
kwaio ili pia ni zao la majuu au?? dunia bora isimame kuzunguka duuh!
 
Nazan diamond hamkumwelewa,mnajua nin
tangu fieasta iishe,hakuna tena anayemzungumzia Ross,anayezungumziwa ni diamond 2uu,akiri kumkichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom