Mimi nlikuwepo toka asubuhi ila cjaona hata mtu mmoja wa MWANZA kwenye kampeni za MAKOMEO.
Yaani hata mgeni akifika tu MZA angegundua kuwa wale watu hawafanani kabisa na jiji la MWANZA
Ukweli ni kwamba wale watu waliletwa asubuh na malori kutoka MISUNGWI, NGUDU, SUMVE, NYANGUGE, MAGU, KAYENZE, NYEHUNGE, SENGEREMA n.k