Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.

Munadanganywa sana wa Tanzania. Ccm wanajua hali halisi ya kanda ya ziwa. Wanaokoteza wananchi kwa magari na kuwapa pesa ili wakahudhurie. Unategemea nini? Wanajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Nimemsikia Magufuri juu ya aina ya serikali yake na baraza la mawaziri kuwa dogo na la waadirifu ...hebu tujulishe katika hili Lowassa anasemaje?
 
Magufuli hana mashetani hivyo watu hawawezi kuzimia. Huyo shetani wenu mwenye kujin.....a mnasema vipaza sauti vibovu wakati mbowe amevitumia vipaza sauti hivyo hivyo. Na mashetani yake ndiyo yanasabisha watu kuzimiza.

Umesahau Moro?
 
Km cdm na uchaga Lowasa na Ulutheri au vp..... Chagua MAGUFUR ndo jibu sahihi
 
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.

Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe....
 
Attachments

  • 1445104377846.jpg
    48.4 KB · Views: 188
  • 1445104393237.jpg
    28 KB · Views: 261
  • 1445104406331.jpg
    47.7 KB · Views: 226
  • 1445104423666.jpg
    34.4 KB · Views: 185
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.

Umemsikia Magufuli alichokisema lakini? Anaijua Mwanza, mchana wanamshangilia usiku wamebadilika! Naye analalamika kuwa watu wanahongwa hela na kuwashauri wazile, hahahahaaaa,hajui kuwa chama chake ndo kinayafanya hayo. Watu mliowasombea uwanjani mmewatelekeza bila usafiri, kuweni na huruma. Hao wanafunzi mmewarudisha mashuleni?
 
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.

Mwanza si ya CCM mkuu

Ni ya wote
 
Zakaria leo kafanya biashara kweli kweli..... Magari yake yalisambaa Mara, Simiyu na Shinyanga.
 
Attachments

  • 1445104939919.jpg
    43.7 KB · Views: 197
  • 1445104994566.jpg
    34.3 KB · Views: 192
mimi mpenzi wa mabadiliko lakini kura yangu magufuli tu. ataleta mabadiliko akiwa ndani ya ccm

Wazee wa kusukuma gari huku mkiwa ndani ya gari! Hongera ila nahisi hiyo gari hata ashuke Yesu Kristo, haliwezi sogea!
 
Kama hakuwepo hata mtu mmoja wa mwanza wewe umetokea wapi kayenze mkuu?
 
Ni kweli mkuu nyumban kwanza... Ukiwa baadae hapa kazi tu
 
Watu wamebebwa toka GEITA, CHATO, BUKOBA, MAGU, MISUNGWI, SENGEREMA... So CCM wametengeneza mafuriko feki...!!!!
Pia, kumbuka hapo ulifanyika mkutano wa MWANZA nzima, na mikoa jirani watu wamebebwa sana sanaaa...!!
 
ukuyaona mabasi yaliyosomba wanafunzi na ngombe. pia fiesta ilikuwepo. kingine malori yalijaa takribani nusu uwanja. nyomi la lowassa huwa ni nouma uwanjani huwa ni roli moja tu na pa system basi.
Katengeneze Microphone zimegoma huko Tunduma.
 
Kumbe agizo la mkuu wa mkoa limefuatwa? Walimu na wanafunzi wahudhurie kwa magufuli ila Wanafunzi wasivae sare
 
Mwanza inakombolewa na Magufuli, watu wengi Wanapigia Kwa Magufuli
UKAWA wamewachanganya watu hapa hasa baada ya kumpokea EL waliyemtangaza fisadi na kuacha viongozi walioaminika ktk jamii
 
Nikwel mkuu hao ccm wamewaagiza wakuu wa shule za sekondar mwanza wawaruhusu wanafunz waende kwenye kampen lakin wasivae sare za shule kama hauamin kutana na hedmaster wa shule yoyote hapo mwanza atakuambia kila kitu
 
Watu wamebebwa toka GEITA, CHATO, BUKOBA, MAGU, MISUNGWI, SENGEREMA... So CCM wametengeneza mafuriko feki...!!!!
Pia, kumbuka hapo ulifanyika mkutano wa MWANZA nzima, na mikoa jirani watu wamebebwa sana sanaaa...!!

kubebwa sio ishu....swali ni je,walipofikishwa uwanjani walifungwa kamba wasiondoke au la?........
hilo ndo swali la msingi
 
Nikwel mkuu hao ccm wamewaagiza wakuu wa shule za sekondar mwanza wawaruhusu wanafunz waende kwenye kampen lakin wasivae sare za shule kama hauamin kutana na hedmaster wa shule yoyote hapo mwanza atakuambia kila kitu
Pamoja na hao wa kuwalazimisha, more than 50% ya walio hudhuria ni kutaka kumuona Shilole na mauno yake, kina Chege na wengine.
Haki ya nani hebu watangaze kuwa kuanzia kesho wasanii hawatakuwepo sababu ya Muda muone kama yule mama Anna wa ACT kama hatapata wasikilizaji wengi kuliko Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…