mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
- Thread starter
- #61
mi ni muumini wa tigo toka enzi za buzz. hakuna wa kunitoa huku.
inamaana huna laini mbili/nyingine?
my primary number pia ni tigo, lakini ninazo secondary nambaz laini za voda/zantel/airtel. Hawa secondary nambaz ndio huwa sub, kwahiyo wametoka voda/zantel na AIRTEL amechukua nafasi. airtel yatoshaaa....!!