idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
mkuu piga *147*500# unapata mb 60,dk 20 sms 150 kwenda mitandao yote...kwa hapa voda nimewakubali.!!tsh 749 unapata 30min+unlimited sms+ 250mbs utasemaje wananiibia? Halafu kifurushi kinakaa masaa24! Tofauti na voda saa 6 usiku kifurushi kinakata!
Na voda hawana kifurushi cha 500, wanacho cha tsh 450-day-unapata 15min+100sms+50mbs !
Na wao airtel wanacho kama hicho cha day tsh 499 -day-25 min+200sms+75mb
haya sasa embu linganisha mwenyewe nani anaibiwa.