Mi natumia voda na nipo maeneo ya mabibo hostel.huku hata network haikamati vizuri yani ni kigugumizi mara ije mara inaondoka....drop outs kibao kwa hiyo hata sifaidi
Tigo huduma ya kabang si mchezo. 9,000 kwa wiki unakua na dkk 150 tigi to tigo na 150 other networks. Imenipunguzia gharama
Tigo huduma ya kabang si mchezo. 9,000 kwa wiki unakua na dkk 150 tigi to tigo na 150 other networks. Imenipunguzia gharama
Tigo huduma ya kabang si mchezo. 9,000 kwa wiki unakua na dkk 150 tigi to tigo na 150 other networks. Imenipunguzia gharama
kwa kweli airtel is ze bestest,wanamuangalia mwenye kpato cha kawaida sana,walianza na ile mbs zao 400 za mwezi mzima sasa wamekuja kivingne bomba zaidi,hata speed yao ni reasonable
Kwa airtel ni sh 1999
AIRTEL tsh 5,999 unapata 275min kupiga mitandao yote + 3gb , sio kama tigo ni 150/150min na only 1gb tu ,
tatizo airtel ni spidi ya internet ila kama hufuati intaneti inafaa..
Hebu nielekeze mkuu.Una connect vipi simu wireless kwenye laptop!?u mean wifi!??toa darasa kidogoHAHAHAH, hapa nimejiunga na cha tsh 5999 full kufaidi, na natumia simu yenye wireles kukonekt kwenye laptop yangu, ambapo inanipa urahisi kupiga simu, kwahiyo nikijisikia kutwanga na twanga tu sio mpaka nitoe laini kwenye modem.
Hebu nielekeze mkuu.Una connect vipi simu wireless kwenye laptop!?u mean wifi!??toa darasa kidogo
Airtel sasa nimewakubali. Nimenunua laini nyingine leo ili niwe nazo 2 kwa ajili ya mzuka nilioupata. Kwenye laini zangu nina jumla ya dk 350 kupiga mitandao yote, nina 1gb na sms za kufa mtu. Yote hayo kwa sh 6000 tu! Hakuna cha cheka, zap, cheka nao wala kabangi. Airtel mambo iko huku bhana!Hapana mimi sio mfanyakazi wa airtel , ni kwamba nimefurahishwa tu na vifurushi vyao vya AIRTEL YATOSHA.....!!TSH 349 -10MIN(kupiga mitandao yote)+ 100SMS+25MBTSH 499-DAY-25MIN(kupiga mitandao yote)+200SMS+75MBTSH 749 -DAY-30 MIN (kupiga mitandao yote)+ 250 MB !TSH 1,999-WEEK -70MIN(kupiga mitandao yote)+ 700SMS+175MBTSH 2,999-WEEK- 175MIN(kupiga mitandao yote)+ 1400SMS+500MBTSH 4,499-WEEK-210 MIN (kupiga mitandao yote)+(unlimited sms) 1.5 GB !TSH 5999-WEEK-275 MIN+(kupiga mitandao yote)+(unlimited sms)+3GB !bofya *149*99# Nimeitoa laini yangu uvunguni sasa nimerudi AIRTEL kwa muda......
usikariri sababu wewe umezoea kununuliwa,