AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
Ndugu zanguni...
Ilikuwa jana usiku majira ya 5 ambapo niliamua kujiunga na kifurushi cha "Airtel yatosha" cha Tsh 1000, very soonly baada ya kujiunga nikapewa Dakika 40 za kwenda mitandao yote, Sms 1000 na 300 MB,
Usiku huo nilitumia dakika kama 15 lakin sms sikutumia hata moja, Cha ajabu leo nimeamka asubuhi nimekuta wamekata salio lote la dakika pamoja sms zimebaki 0 hali iliyonifanya niwapige huduma kwa wateja lakini nikaambulia porojo na ahadi zisizotekelezeka,
Jambo hili likanifanya nirudie tena kwa mara ya 4 kupiga tena simu lakini mmoja wa watoa huduma (binti) akawa hataki kunielewa tatizo langu na mwisho akaniambia NISIWE MBISHI NIWE NATUMIA AKILI na meaneno mengine ya ovyo kabisa.
My take: Hiv ninyi mitandao ya simu mpaka lini mtaendelea kutudharau na kutunyanyasa sisi wateja wenu? Kodi zetu mnaiba lakini pia hata hili jambo dogo liwashinde?
Cc: airtel

Last edited by a moderator: