Umetumwa kubalance habari eeh?
Nimejaribu kununua kumbe nao wamepunguza kweli.... voda wamepunguza, tigo wamepunguza, hao nao wamepunguza. Kwa hiyo sisi tusio na comm allowance akili mkichwa.Leo nimejiunga na kifurushi cha sh 1900/-kwa mategemeo ya kupata dakika 40 kama nilivyozoea siku zote,nimeshangaa naambulia dakika 35 tu.Jamani mtandao huu unatupeleka wapi?
Mtandao gani ulio angalau nafuu tuwahame hawa wanyonyaji?