Nimejiunga kifurushi Cha wiki Cha sh 2000 usiku huu SAA 3:14. Nikaingia Facebook na whatsapp nikawa napitia kurasa na magroup mbalimbali nasoma tu. Siku downlod video yoyote. Ilipofika saa 3: 59 nikatumiwa sms eti umetumia asilimia 75 ya kifurushi chako.
Ilipofika saa 4:14 yaani wastani wa SAA moja kamili tangu niunge bando nikatumiwa sms ety kifurushi chako kimeisha. Nimehisi hasira mpaka basii.
Vp nyie wenzangu mnatumia mtandao gani wenye unafuu?