Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 3,565
- 6,080
S
Hicho kidogo walichotoa tushukuru wasingetoa chochote ungelalamika pia?
Sio majukumu yao wamefanya hisani tuu, hayo ni majukumu ya serikali.Ukweli kwamba hii Nchi inawatu wengi sana wasio jielewa! Mtu anakwambia FAO ndo walete chakula! Inahuzunisha sana. Kwan Airtel atapata dhambi Gani kuleta hata magodoro pale watu wanalala ovyo? Au hata mahema tu!
Hicho kidogo walichotoa tushukuru wasingetoa chochote ungelalamika pia?