Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

Status
Not open for further replies.
Nasikia kampuni ya simu ya Airtel wamepandisha gharama za vifurushi vya internet. Mwenye taarifa zaidi atujuze kama ni kweli!
 
Poleni wapendwa...huduma iyo haijasitishwa bado ipo na itazid kuwepo...leo asubuh kumekuwa na tatizo la netwk kwa baadhi ya mikoa apa nchini poleni sana kwa usumbufu uliojitokeza!

Wewe ni msemaji wa kampuni?? Kuna ukweli katika ulichoandika?
 
Hawa jamaa kweli wamepandisha gharama zao, nimenunua 50MB leo kwa Tsh 2,000/= maana nilijaribu kununua inetrnet bundle ya Tsh 2,500/= imegoma. Nimejaribu kufungua website yao na nimekuta hii:
BUNDLE
SUBSCRIPTION
FEE
VALIDITY
Daily Bundle (20MB)
SMS ' datasiku ' to 15444
500/=​
1 day​
1 Day bundle (300MB)
SMS ' dataplus ' to 15444
3,000/=​
1 day​
Weekly bundle (3GB)
SMS ' datawiki ' to 15444
15,000/=​
7 days​
Monthly bundle (8GB)
SMS ' full data ' to 15444
70,000/=​
30 days​
Quarterly Bundle (24GB)
SMS ' data90 ' to 15444
200,000/=​
90 days​
Yearly Bundle (96GB)
SMS ' data365 ' to 15444
750,000/=​
365 days​
Handset Browsing Bundle(400 MB)
SMS ‘internet ' to 15444
2,500/=​
30 days​

Kwa kweli sasa hali inatisha, sijui tukimbilie wapi?
 
Internet access bado kwa watanzania wengi haijulikani kama ni moja wapo ya "resources" muhimu katika uchumi and jamii. Hizi cellular companies huweka bei za hizi bundle kuzingatia mambo mengi na walitakiwa kutupa sisi watumiaji wa service zao muda au tangazo kabla ya kuufanya huu upuuzi wa kuondoa kabisa ile 400MB per Tshs 2500 per week.

Miezi michache nyuma Airtel CS walini-contact kunipa fursa ya kuzijua bundle zao nyingine sababu waliona kuwa ninatumia sana bundle yao ya 400MB mara nyingine hata siku 2 haziishi kwa mahitaji na utumiaji wangu siku furahishwa na bundle zao nyingine zozote muda ukiacha hii.

Ninawashauri Airtel kama wameamua kuongeza bei ya 500MB kuwa Tshs 10000 / week, waongeze MB kuwa 2000 kwa hiyo hiyo amount /month. Sasa hivi Zantel ina 2000MB/Tshs 10000/week. Itakuwa competition safi sana wakifanya hivyo La sivyo, watu tunahama nikianzia mimi mwenyewe.
 
Hata zantel amefanya hivo, wiki iliyopita niliwahama na kurudi sasatel nilikuwa na modem langu nimelitupa huko ilibidi nilitafute
 
Hawa jamaa kweli wamepandisha gharama zao, nimenunua 50MB leo kwa Tsh 2,000/= maana nilijaribu kununua inetrnet bundle ya Tsh 2,500/= imegoma. Nimejaribu kufungua website yao na nimekuta hii:
BUNDLESUBSCRIPTIONFEEVALIDITY
Daily Bundle (20MB)SMS ' datasiku ' to 15444
500/=​
1 day​
1 Day bundle (300MB)SMS ' dataplus ' to 15444
3,000/=​
1 day​
Weekly bundle (3GB)SMS ' datawiki ' to 15444
15,000/=​
7 days​
Monthly bundle (8GB)SMS ' full data ' to 15444
70,000/=​
30 days​
Quarterly Bundle (24GB)SMS ' data90 ' to 15444
200,000/=​
90 days​
Yearly Bundle (96GB)SMS ' data365 ' to 15444
750,000/=​
365 days​
Handset Browsing Bundle(400 MB)SMS ‘internet ' to 15444
2,500/=​
30 days​

Kwa kweli sasa hali inatisha, sijui tukimbilie wapi?

Jaribu sasatel wana bundle ya 1.5GB KWA TSH 7500/=
 
Si wanaonyesha ujinga wao wa kuto-ku-update site yao kabla ya mabadiliko, Nchi zingine wateja wange-goma kulipa zaidi bila kusoma NOTICE kama hii "Prices can change with or without notice" ambayo kwenye hiyo page yao sijaiona bado. Au ipo sehemu nyingine?
 
Hawa jamaa kweli wamepandisha gharama zao, nimenunua 50MB leo kwa Tsh 2,000/= maana nilijaribu kununua inetrnet bundle ya Tsh 2,500/= imegoma. Nimejaribu kufungua website yao na nimekuta hii:
BUNDLESUBSCRIPTIONFEEVALIDITY
Daily Bundle (20MB)SMS ' datasiku ' to 15444
500/=​
1 day​
1 Day bundle (300MB)SMS ' dataplus ' to 15444
3,000/=​
1 day​
Weekly bundle (3GB)SMS ' datawiki ' to 15444
15,000/=​
7 days​
Monthly bundle (8GB)SMS ' full data ' to 15444
70,000/=​
30 days​
Quarterly Bundle (24GB)SMS ' data90 ' to 15444
200,000/=​
90 days​
Yearly Bundle (96GB)SMS ' data365 ' to 15444
750,000/=​
365 days​
Handset Browsing Bundle(400 MB)SMS ‘internet ' to 15444
2,500/=​
30 days​

Kwa kweli sasa hali inatisha, sijui tukimbilie wapi?

hii ni subscription ya zamani mkuu nadhani hiyo mpya hawajaitoa bado..
 
Hawa jamaa kweli wamepandisha gharama zao, nimenunua 50MB leo kwa Tsh 2,000/= maana nilijaribu kununua inetrnet bundle ya Tsh 2,500/= imegoma. Nimejaribu kufungua website yao na nimekuta hii:
BUNDLESUBSCRIPTIONFEEVALIDITY
Daily Bundle (20MB)SMS ‘ datasiku ' to 15444
500/=​
1 day​
1 Day bundle (300MB)SMS ‘ dataplus ' to 15444
3,000/=​
1 day​
Weekly bundle (3GB)SMS ' datawiki ' to 15444
15,000/=​
7 days​
Monthly bundle (8GB)SMS ‘ full data ' to 15444
70,000/=​
30 days​
Quarterly Bundle (24GB)SMS ‘ data90 ' to 15444
200,000/=​
90 days​
Yearly Bundle (96GB)SMS ‘ data365 ' to 15444
750,000/=​
365 days​
Handset Browsing Bundle(400 MB)SMS ‘internet ' to 15444
2,500/=​
30 days​
Kwa kweli sasa hali inatisha, sijui tukimbilie wapi?
Du! Hata kusoma ulichoki-post naona husomi na wala hujui kinacholalamikiwa..
 
Yaani huwezi amini sasa hakuna tena 400MB KWA 2500.. HILI NDILO LILILOKUA BUNDLE LA WATANZANIA WALIO NA KIPATO CHA CHINI SASA TWENDE KWA NINI ATAKAYEWEZA KUTUKOMBOA....
KWA HILI WASITEGEMEE TENA WATANZANIA WAENDELEE KUTUMIA AIRTEL KATIKA INTERNET...BYE BYE AIRTEL
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom