Wazee wa bundles za usiku tukutane huku, nyumbani kumenoga

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Baada kupata crisis za bundle hapo March 3, ilikuwa ni mtihani mzito kwa sisi (TEAM POPO) au wazee wa bundle. Za usiku kwan bundle hizi ziliondolewa na mitandao mingi hili. Ilinipelekea ugumu ku-access internet lakini sasa.

TTCL wamerudi kwenye mstari kwa Kutuletea kifurushi cha BANDIKA BANDUA, kwa buku tu unapata GB 4 za usiku na mb 500 kwa asubuhi had jioni.

Mitano tena kwaooo
 
Team popo tuweke kambi hapaView attachment 1761033

Screenshot_20210423-065504.jpg
 
Back
Top Bottom