Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mwaya kwa kukosa mteremko . Lakini usimaind saa 5 ya usiku paka saa 1 asb kuna bonge la mteremko .
...pole sana mkuu,mimi pia nilikwangu vocha ikafutika namba,niliwapelekea hiyo vocha ofisin leo ni siku ya 4 bado hawajantua salio...Nimenunua recharge vocha bahati mbaya muuzaji alikuwa na haraka kaikwaruza vibaya akarudia rudia kuingiza na SIM yangu ikafungiwa ku-recharge.
Sasa tangu jana usiku nahangaika ku-dial 100 ambayo ni huduma kwa wateja lakini kinachoonekana ni network busy. Je, mmeweka hiyo huduma ya nini kama wateja hawawezi kuitumia????
Nawapa mpaka leo usiku kama hamfungui namba yangu nahamia Vodacom.
Kesho nina maswala yangu pale American Embassy, nitatumia fursa hiyo kupitia kwenye ofisi zao kupata ufafanuzi in personal, maana hawa jamaa ukipiga ile namba yao ya customer care utasikilizishwa muziki mpaka masikio yakuume.
Nahisi wewe ni kampuni ya simu either Tigo au Voda sasa unataka kuwaharibia Airtel ... na si vinginevo ! mbona mimi leo nimeupload picha zangu kwa kutumia huo mtandao! acheni kuwaharibia wenzenu nyie !
BUNDLE | SUBSCRIPTION | FEE | VALIDITY |
Daily Bundle (20MB) | SMS datasiku ' to 15444 | 500/= | 1 day |
1 Day bundle (300MB) | SMS dataplus ' to 15444 | 3,000/= | 1 day |
Weekly bundle (3GB) | SMS ' datawiki ' to 15444 | 15,000/= | 7 days |
Monthly bundle (8GB) | SMS full data ' to 15444 | 70,000/= | 30 days |
Quarterly Bundle (24GB) | SMS data90 ' to 15444 | 200,000/= | 90 days |
Yearly Bundle (96GB) | SMS data365 ' to 15444 | 750,000/= | 365 days |
Handset Browsing Bundle(400 MB) | SMS internet ' to 15444 | 2,500/= | 30 days |
BUNDLE | FEE | VALIDITY |
Monthly bundle( 8GB) | 70,000/= | 30 days |
Quarterly Bundle( 24GB) | 200,000/= | 90 days |
Yearly Bundle( 96GB) | 750,000/= | 365 days |
Handset Browsing Bundle( 400 MB) | 2,500/= | 30 days |
Bad news
Nimejaribu kujiunga kwa maelezo yao nikiwa na salio la sh 2800 kwa kutuma 500MB ikasema sina salio la kutosha, nikajaribu 250MB ikasema sina salio la kutosha, nikajaribu 150MB ikasema sina salio la kutosha, mwisho nikajaribu 50 MB ikakubali bila kusema imenikata sh ngapi wala ni kwa muda gani.
Na ukiangalia salio unatumiwa majibu haya "Ndugu Mteja Salio lako ni: 1. 50MB : 50MB 2. BUNDLE : 1MB"
Sasa sijui kama nilitakiwa nitumie MWEZI au vipi?
Naona sasa hv zantel itahusika