Airtel Tanzania Walamba Karata Dume Kwenye Tangazo La Airtel Money

Galapagosi

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,849
2,628
Baadhi ya kampuni zinafakiwa sana kutengeneza matangazo ya kuvutia kwa wateja na baadhi ukwama.
Moja ya kampuni zilizofanikiwa sana ni coca cola walikuwa na tangazo ambalo wengi sana hadi waliweza kuliifadhi kwenye simu zao la "ONJA MSISIMKO"

Kwa sasa naona Airtel nao wamefanikwa kwenye tangazo la "AIRTEL MONEY HAKATWI MTU" japo nimejaribu kulitafuta kwenye mtandao sijafanikiwa na kuliambatanisha hapa, mtunzi amejitahidi kwenye melody.

Naomba jina kwa anaefahamu msanii aliyeandaa tangazo la airtel money kwa sasa naona kijana amelitendea haki nataka kufahamu kazi zake zingine nisikilize.

Ila pongezi AIRTEL kwa kulamba Karata dume japo mnaweza kuona ni tangazo la kawaida.

Nawasilisha
 
Kuna line tofauti za airtel? Acha porojo
Hujanielewa, Mkuu. Kwa ufupi ni kwamba ukifanya muamala wa kuanzia 5k na kuendelea airtel kwenda airtel ndiyo hakuna makato, Chini ya hiko kiasi au kwenda mitandao mingine makato yapo pale pale.
 
Kampuni iliyofanya inaitwa OGILVY wako Masaki Chole Rd. Jengo la Amnventon Tower FLoor ya Tano
 
Siyo kwenda mitandao mingine,na ni chini ya kiasi wanachosema,nilijaribu tu kama mnachosema nikweli ila Si kweli.....ngoja nibaki na Mpesa tu,kelele nyingi halafu vitendo 0
 
Whatever floats your boat.

If you ask me, Vodacom is a leading fraudster and a master at nickel and diming. Always pulling exorbitant rates on their tariff charges - Juzi juzi tu wameongeza viwango vya makato kwenye kutoa pesa.
 
Yes bora expensive but effective & efficiency
 
Nashukuru mkuu maana nilikuwa nahitaji jina la huyo kijana
Jina lake anaitwa Ibranation, ni msanii wa Bongo Fleva mwandishi wa nyimbo zake na pia anawaandikia wasanii wengine kama Maua Sama. Baadhi ya nyimbo zake ni Nilipize, Kubali, Tabibu, Nieleze, Naamini na nyingine nyingi.

Ni msanii mkali sana lakini ambaye hajabahatika kupewa attention kubwa ingawa yupo THT.
 
Back
Top Bottom