kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,256
Wakat ushafika dar, ghafla unaona meseji kuwa ile hela imefanikiwa kutoka kwa huyo wakala wa huko singidaWapumbavu sana hawa airtel leo wamenifanya nishinde njaa kwenye bus nimefika singida natoa hela ninunue msosi wajinga hawajarudisha msg kwa wakala wala kwangu . Imenibidi nifunge bila kupenda.