ng'wanishi
Member
- Jan 23, 2012
- 34
- 1
Ndugu zangu naombeni msaada kutoka kwa yeyeto mwenye kufamu juu ya hli,modem yangu nikiiplug tu kwenye mashine ina soma na sim inserted or niweka ambayo sio ya airtel. Sasa tatizo hli limeninyima internet wiki 2 sasa, sijui cha kufanya. Mbaya zaidi hata nikiiplug bila sim bado iitaleta ujumbe huohuo. Msaaada wenu ndugu zangu.