Internet ya Airtel na Voda kwenye Modems mbona hovyoo?

Internet ya Airtel na Voda kwenye Modems mbona hovyoo?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,954
Reaction score
7,006
Ndugu zangu.. Mie ninalapto nimekuwa natumia modems za voda na airtel hapa mjini Mrogoro. Airtel ilikuwa vizuri sana wiki chache zimepita, lakini sasa hivi hata connect inakataa. Tatizo nininiiiii? Bundle tunanunua lakini hazifanyi kazi?

Naombeni ushauri.
 
Ni hali ya mtandao tu, nadhan unajua hali ya mitandao yetu ya kibongo ilivyo ovyo.. Ukitaka kuprove tumia kuanzia saa 6 uone inavokua na speed , also jaribu kuset modem iwe inakamata wcdma/hspa/umts/3g only .
 
Ndugu zangu.. Mie ninalapto nimekuwa natumia modems za voda na airtel hapa mjini Mrogoro. Airtel ilikuwa vizuri sana wiki chache zimepita, lakini sasa hivi hata connect inakataa. Tatizo nininiiiii? Bundle tunanunua lakini hazifanyi kazi?

Naombeni ushauri.
now tumia hallotel ndio mpango mzima mikoani
 
Back
Top Bottom