Airtel hapa hatukubaliani na nyinyi....

Airtel hapa hatukubaliani na nyinyi....

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,659
Nimewafuatilia Airtel kuhusu matangazo yao wanayorusha kwenye TV.Nimegundua kwamba Airtel matangazo yao hawatengenezi Tanzania licha ya sisi WaTz kuwa na kampuni nzuri tu zinazoweza kutengeneza haya matangazo au hata zaidi ya haya.Ukiona lile la kutangaza vocha ya Tshs 200 utaona kwamba midomo ya watu haiendani na sauti zinazotoka.Na pia hili jipya la kwenye mgahawa utaona hiyo kitu pia.Nawaomba Airtel mjifikirie!
 
wabongo wenyewe hawachangamkii fursa, wamejidharau na wachache walio sharp ndio hao wanatoboa japo tangazo linakuwa limelenga watu wa aina flani hivi...WEHU
 
Sidhani kama ni kosa lao,sisi ndo bongo lala....wanaohusika wangewafuata na kuwaeleza uwezo wao wangefikiliwa
 
Nimewafuatilia Airtel kuhusu matangazo yao wanayorusha kwenye TV.Nimegundua kwamba Airtel matangazo yao hawatengenezi Tanzania licha ya sisi WaTz kuwa na kampuni nzuri tu zinazoweza kutengeneza haya matangazo au hata zaidi ya haya.Ukiona lile la kutangaza vocha ya Tshs 200 utaona kwamba midomo ya watu haiendani na sauti zinazotoka.Na pia hili jipya la kwenye mgahawa utaona hiyo kitu pia.Nawaomba Airtel mjifikirie!
Airtel haiko Tanzania tu, badiliko linalofanyika hapa linahusu pia kwingineko kama lilivyo tangazo la coca cola na yote wana superimpose au ambatanisha muigizo wa midomo kama ilivyo kwenye tamthilia za luninga ambapo mtazamaji unachagua sauti inaoyokufaa.
 
Kwahiyo hata lile la mabus ni la nje?.. Lakini mbona kuna watu nawajua wanatengeneza sana matangazo bongo na ndio tegemezi la color mixing Bongo nitawauliza!.
 
Airtel haiko Tanzania tu, badiliko linalofanyika hapa linahusu pia kwingineko kama lilivyo tangazo la coca cola na yote wana superimpose au ambatanisha muigizo wa midomo kama ilivyo kwenye tamthilia za luninga ambapo mtazamaji unachagua sauti inaoyokufaa.
Kwahiyo ile mia mbili ya Tz na nchi nyingine wanatumia?
 
Matangazo yote Ya kampuni za Simu huwaga wanapewa dili wahindi
 
Nimewafuatilia Airtel kuhusu matangazo yao wanayorusha kwenye TV.Nimegundua kwamba Airtel matangazo yao hawatengenezi Tanzania licha ya sisi WaTz kuwa na kampuni nzuri tu zinazoweza kutengeneza haya matangazo au hata zaidi ya haya.Ukiona lile la kutangaza vocha ya Tshs 200 utaona kwamba midomo ya watu haiendani na sauti zinazotoka.Na pia hili jipya la kwenye mgahawa utaona hiyo kitu pia.Nawaomba Airtel mjifikirie!
Wataka Wafanyaje Kaka Maana Sio Kwa Povu Hili
 
Back
Top Bottom