Airline Pilot Dream | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airline Pilot Dream

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Rogie, Jan 20, 2012.

 1. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Wakuu hbr ya wakati huu...kuna ndugu yangu ameniomba mwanga katika hili nami nikaona nililete jukwaani kwani penye wengi hapaharibiki jambo.

  Ndugu yangu huyu ana ndoto na anatamani sn cku moja aje kuwa rubani wa ndege..alimaliza chuo mwaka jn na amesoma digrii ya sayansi katika bima na udhibiti majanga. Anafanya kazi kwnye kampuni binafsi kwa sasa(lkn co ya bima).

  Sasa anahitaji kujua ni namna gani anaweza kukamilisha hyo ndoto yake hasa maswala ya scholarships...

  Natanguliza shukrani wakuu.
   
 2. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hiyo kitu ghari sana, bila schorlaship ni ngumu, pia anatakiwa awe mvumilivu sana, kwani ina vikwazo vingi hadi upate flying license, kuna dogo wangu ndio amepata juzi juzi tu. Aende pale airport Terminal 1 ataona washkaji wengi wameanza basic training, kabla ya kuendelea kutoka hapo, kwani kuna kozi zingine lazma uende S.A
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Yeah vry xpensive!
  Kenya Airways hupeleka watu wao huko SA kila mwaka kwa ajili ya training. Am not sure kama wapelekwao lazma wawe wakenya tu au hata wabongo yawezekana.

  Mwambie awe mtu wa kuperuz kwa sana kwenye internet. Kwa kuanzia mpe link hii PPRuNe Forums - Professional Pilots Rumour Network na aji-registe kama memba ndo ataweza kusoma mambo mengi na kupata changamoto.
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Mizizi nashukuru sn kwa ushauri. Nimechukua hii ntampatia.

   
 5. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Duuh kazi anayo..nashukuru sn mkuu...vp huo mpango km wa Kenya huku kwetu hakuna?
  Ila kazi ipo kampuni yetu yenyewe ina ndege moja.
   
 6. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hapa kwetu hamna lolote liendelealo. Enzi hizoo watu walikua wakipelekwa kusoma, sio enzi hizi za siasa na ukiritimba wa kutosha. Precision Air walifanya hivyo kama miaka mi4 ilopita but wamestopisha....

  All th best for him/her
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu anayehitaji ni ndugu yako au wewe mwenyewe? ina'sound kama unahitaji wewe! check humu inaweza kukusaidia "Mosswood Aviation Academy" - PRIVATE PILOT TRAINING IN TANZANIA  
   
 8. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwambie aende Airport Terminal 1. Dar Amtafute either Captain Omary au Capt. Ahmed. Hao wana flying schools zao ambapo wanatoa mpk PPL (Private Pilot Licence) kwa gharama ya wastani wa 14 -15 Million. Maelezo mengine atakutana nayo huko.
   
Loading...