Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,157
- 10,655
yakiombewa na yasipotokea mnasema jamaa muongo
huyo jamaa msanii tu hana chochote
sanasana mchawi tena kawatoa kafara wasauzi
usanii kwa jina la shetani
yakiombewa na yasipotokea mnasema jamaa muongo
Aliona,sawa!aliombea,sawa!,likatokea pia!?So what's the essence of prophecy,when even prayers can't change the course?
umetumia nguvu nyingi mno kuandika haka kasentensi mkuu. ungetumia akili nyingi usingeandika hayo, ulipaswa kunishawishi tu niamini utabiri wake siyo kunipa jibu linalokatisha tamaa na kuudhi kiasi hicho. kichwa kikubwa akili kidogouna mawazo mgando kama akili hulamizimishwi kuamini utabiri wake wewe endelea kuwaamini hao waganga wenzako
Sasa kama alijua kwa nini aliruhusu watu walitumie wakati angeweza kulifunga mpaka baada ya tukio kutokea ili kunusuru maisha ya watu.
Alikutapeli nini???
leta ushahidi acha porojo za kitoto
Na wewe ni muungu unashindana na Mungu aliye hai? Mbona umejaa wivu na hasira zisizoeleweka? Kakutapeli nini ? Na kwanini usiongelee maasuala ambayo Mungu anamtumia kuyatabiri na yanakuwa kweli kama hii ndege ya Indonesia, ile ya Malaysia na pia Mungu alivyompa neno mwanzoni mwa mwaka kwamba mwaka huu shetani atafanya kazi ya kuleta maafa zaidi katika anga. Akasema usafiri wa anga utakuwa hatari na ajali nyingi za angani zitatokea kwa mwaka 2014?
Kama hujui unanyamaza badala ya kujipatia madhara kutoka kwa nguvu usioyoiweza wala kuijua.
Toa mstari kwenye bible ili tujifunze pls..
Hii hapa, wewe uini kuna dini inaamini ukiua kwa ajili ya Mungu ni baraka?, uoni wavaa mabomu wameongezeka?
Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
Anaweza ona lakini kuzuia ni kazi ya MUNGU mwenyewe wala hawezi kumlazimisha
Je una mtizamo gani kuhusu huyu mtabiri?
He is the. Prophet of the Doom!huyu jamaa hata simuelewi kwakweli...mdomo wazi
In a way that it's impossible to foresee the collapse of his building that kills a lot of his followers. How I wish Lowasa and Mwigulu were there on that fateful day!How does he do it?!
He is the. Prophet of the Doom!
Yeye na Sheikh Yahaya hawana tofauti, kutabiri maafa ni speciality yake.