AirAsia Plane Crash PROPHECY - T.B. Joshua

Aliona,sawa!aliombea,sawa!,likatokea pia!?So what's the essence of prophecy,when even prayers can't change the course?

Anaweza ona lakini kuzuia ni kazi ya MUNGU mwenyewe wala hawezi kumlazimisha
 
una mawazo mgando kama akili hulamizimishwi kuamini utabiri wake wewe endelea kuwaamini hao waganga wenzako
umetumia nguvu nyingi mno kuandika haka kasentensi mkuu. ungetumia akili nyingi usingeandika hayo, ulipaswa kunishawishi tu niamini utabiri wake siyo kunipa jibu linalokatisha tamaa na kuudhi kiasi hicho. kichwa kikubwa akili kidogo
 
Siku za mwisho watatokea manabii wa uongo nao watadanganya wengi.Kristo anasema HERI yao walalao mavumbini katika BWANA.Joshua anatabiri mambo ya uganga wa kichawi.Nabii hutabiri yahusuyo ufalme wa Mungu tu.
 
Sasa kama alijua kwa nini aliruhusu watu walitumie wakati angeweza kulifunga mpaka baada ya tukio kutokea ili kunusuru maisha ya watu.

Ndugu yangu wasemehe bure hao misukule ya TB joshua hawajui hata kudanganya
 
Na wewe ni muungu unashindana na Mungu aliye hai? Mbona umejaa wivu na hasira zisizoeleweka? Kakutapeli nini ? Na kwanini usiongelee maasuala ambayo Mungu anamtumia kuyatabiri na yanakuwa kweli kama hii ndege ya Indonesia, ile ya Malaysia na pia Mungu alivyompa neno mwanzoni mwa mwaka kwamba mwaka huu shetani atafanya kazi ya kuleta maafa zaidi katika anga. Akasema usafiri wa anga utakuwa hatari na ajali nyingi za angani zitatokea kwa mwaka 2014?

Kama hujui unanyamaza badala ya kujipatia madhara kutoka kwa nguvu usioyoiweza wala kuijua.

Huyo mungu kwa nini hakumuonyesha kuanguka kwa kanisa lake mwenyewe?
 
Hata mimi naweza kutabiri kuwa ndege nyingine itadondoka karibia na Malaysia!!! imekaa kijiografia zaidi kuliko kinabii!
 
hamna mungu hapo ushetwani tu someni biblia muelewe kazi za nabii na.walikuwa wanafnya kazi namna gani halaf linganisha na leo wanachofanya kama si uchawi umeingia kwa manabii wa uongo.
 
Toa mstari kwenye bible ili tujifunze pls..

Hii hapa, wewe uini kuna dini inaamini ukiua kwa ajili ya Mungu ni baraka?, uoni wavaa mabomu wameongezeka?

Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
 
Hii hapa, wewe uini kuna dini inaamini ukiua kwa ajili ya Mungu ni baraka?, uoni wavaa mabomu wameongezeka?

Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.

Na wale wasio muomba mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyo iharamisha Mwenyezi Mungu isipokuwa kwa haki, wala hawazini - na atakaye fanya (kinyume) cha hayo atapata madhara.
Quran: 25:68
 
muongo mkubwa wewe una uhakika na maneno yako jamaa alitabiri kitambo kuhusu kanisa lake ingia you tube uthibitishe hilo acha kabisa mambo ya uzushi wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom