AirAsia Plane Crash PROPHECY - T.B. Joshua

hahahaha lile tapeli la kinigeria ? hovyo kabisa mtabiri bora ni ndoto zako tu usiku umelala siyo TB Joshua
una mawazo mgando kama akili hulamizimishwi kuamini utabiri wake wewe endelea kuwaamini hao waganga wenzako
 
Pia tumia akili,tofautisha dhana ya unabii endelevu wa joshua na unabii unaoweza kupewa mtu kwa ajili ya kazi maalumu au tukio maalumu moja!!Ukumbuke hata mapepo pia yana uwezo wa kuona future!!

sifa kubwa ya nabii ya kweli ni anatabiri na yanatokea..
 
sifa kubwa ya nabii ya kweli ni anatabiri na yanatokea..
Ya ubaya tu?Ukisoma biblia manabii wengine walitabiri vitu vya baraka pia,relieving,blessing and prosperous kama ujio wa Kristo na mambo mengine mengi!!Naona kule ukiwa mwanasiasa tu ndo unatabiriwa mema ya nchi!!
 
Nauliza tena,kwanini unabii wake unabase kwenye mambo hasi tu?pia hata akiyaombea hayaondoki!Badala yake yakitokea wanabaki kama kushangilia kuwa nabii aliliona na hili!so what!?

Mbona hata Yesu alitabiri ujio wa watu watakao ua Wakristo wakidhani wanamtolea Mungu ibada?, na imetokea?
 
Na wewe ni muungu unashindana na Mungu aliye hai? Mbona umejaa wivu na hasira zisizoeleweka? Kakutapeli nini ? Na kwanini usiongelee maasuala ambayo Mungu anamtumia kuyatabiri na yanakuwa kweli kama hii ndege ya Indonesia, ile ya Malaysia na pia Mungu alivyompa neno mwanzoni mwa mwaka kwamba mwaka huu shetani atafanya kazi ya kuleta maafa zaidi katika anga. Akasema usafiri wa anga utakuwa hatari na ajali nyingi za angani zitatokea kwa mwaka 2014?

Kama hujui unanyamaza badala ya kujipatia madhara kutoka kwa nguvu usioyoiweza wala kuijua.


Tapeli tu.
 
Yesu alitabiri juu ya kuanguka kwa mji wa Yerusalemu na maafa yatakayowapata wenyeji na akaulilia, je yalibadilika? Maafa hayakutokea?

Yohana alitabiri ole nyingi za ulimwengu ikiwemo kutokea kwa imani ya "wenye vikofia" katika Ufunuo:13, je imebadilika? Wenye vikofia hawauangamizi ulimwengu?

Wenye vikofia ndiyo watu gani mkuu?
 
Yesu alitabiri juu ya kuanguka kwa mji wa Yerusalemu na maafa yatakayowapata wenyeji na akaulilia, je yalibadilika? Maafa hayakutokea?

Yohana alitabiri ole nyingi za ulimwengu ikiwemo kutokea kwa imani ya "wenye vikofia" katika Ufunuo:13, je imebadilika? Wenye vikofia hawauangamizi ulimwengu?


Duh,hii lazima niisome leoleo maana kasi ya "wenye vikofia" kuuangamiza ulimwengu inatisha sana
 
Watatokea manabii wengiiii wa uongoo.

Kwa nini hakutoa taarifa hiyo mapema aokoe
Roho za watu ??

Au alitaka yatokee ili aongezee sifa zake.
Simwamini kabisa na mazingaubwe yake..
 
Back
Top Bottom