Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Hizi ndege, mh!!!!!

Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!

Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Mkuu umeisoma taarifa ukaielewa? Engine failures za Airbus kote ulimwenguni zimesababishwa na JPM? Ukiwa nyumbu bwana!
 
Hiyo ni kweli. Lakini ukisoma hii article ni wazi kwamba hakuna birdstrike iliyotokea. Ni kwamba engine ili fail tu angani. Tena wanasema ndege aina hiyo imekua ikipata hayo matatizo hata kwenye makampuni mengine duniani wanayotumia ndege aina hiyo. Isije ikawa yake ya B737MAX tena
Engine yaweza haribika kutokana na debris au bird strikes of which its common in aircraft (as a Future Cessna 208 Pilot speaking)
 
Boya kweli wewe...inaelekea hujui namna ndege zinavyofanya kazi. Ndege engine moja ikizima...inaweza ikaendelea kuruka na engine nyingine iliyobaki lakini ni lazma rubani atue kwenyw uwanja wa karibu. Ndio maana hiyo atcl baada ya engine moja kuzima aliamua kurudi mwanza...ilirudi ikiwa inaendeshwa na engine moja tu. Ndio maana ya emergency landing
Ingezima ingeweza kurudi Mwanza?
 
Kuna jambo lisilokuwa na siasa nchi hii?
Ndio maana tupo kama tulivyo. Mkao wa haraka. Haiwezekani kila kitu tukiangalie law jicho moja tu, la kisiasa.
Ile ndege ya Ethiopian Airline iliyoanguka ilisababisha ndege zote za aina ile kusimamishwa mpaka uchunguzi ukamilike. Lile Toledo, Boeing iliuza ndege nyingi kuliko kampuni nyingine. Matatizo kama haya ya kiufundi, yanaweza kutokea, tena popote pale. Tunapogeuza kuwa siasa, inaonyesha jinsi tulivyo na uwezo mdogo wa kuangalia mambo.
Nashukuru ndege haikuleta madhara kwa abiria
 

Kwa taarifa yako hata huyo aliyeinunua aliongozwa na utashi wa kisiasa, na ndio maana anachukulia kama kete yake muhimu ya kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
 
Kwa taarifa yako hata huyo aliyeinunua aliongozwa na utashi wa kisiasa, na ndio maana anachukulia kama kete yake muhimu ya kujiongezea muda wa kukaa madarakani.

Kuwa muafrika raha sana. Maana tunapenda kujifariji hata kama tunajidanganya nafsi
 
Du yani ni mikasa tu...
Ila watubu kwa zile figisu walizowafanyia FastJet...!
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Hujielewi wewe. Eti shirika gani linafanya hivyo hapa duniani!!! Mkuu mashirika ya nchi za nje huko ndege zao zikipata itilafu huwa wanatangaza tena bila usiri wowote.
 
Siku nyingine lianukie karibu na hapo serengeti ili tuongeze vivutio kwa watalii .. ni wazo tu lakizalendo.
Uchumi kwanza watu badae, leo nimewaza kilumumba zaidi.
 
Mi nilijua unamawazo chanya kumbe na ww n mbumbu... Yaan umeanza vizur lakin ushaur uliotoa sijaamin kama n ww... Au we uliandka mwanzo sehem ya ushaur ukampa mtu....
Tukiuza ndege hela tukawasaidia wajane umaskini utaisha!!?
Tunawezaje kuzalisha kipato endelevu cha nchi?
Tutawezaje kutatua tatizo la ajira tz?
Tutawezaje kuendelea kuingiza kipato?
Kupanua sector ya utaliii?
Kuharakisha maendeleo??

Mi nafikir unajua kuriport lakin huwez kutoa wayfoward ndo udhaifu wako mkuu...
Si mtu wa kutegemea kwenye kutoa suluhu
 
Kuharibika kwa ndege ni kawaida. Niwasifu marubani kuamua vyema kuirudisha ndege uwanjani vinginevyo
Aisee Unajua imefanya kazi miaka takrinani 10 so jambo ilo ni kawaida
 
Ndege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
Umesoma habari yote? Hii ndege ni toleo jipya. Wamesema hili tatizo limekuwa likitokea kwa ndege nyingine za aina hiyo. Uzuri ni kwamba tatizo linajulikana na kama ni kubadilisha engine basi Airbus ndiyo wabaeba gharama.
 
utaratibu ni kupewa taarifa kila ndege ikiharibika?????
upinzani unapogeuzwa kuwa udaku2[emoji38][emoji38]

Kwa akili hizi CCM itatawala milele..

tutumie nguvu kujadili katiba mpya na tume huru ya uchaguzi... sio umbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…