Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Hizi ndege, mh!!!!!

Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!

Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Hapo ndio unapoona ujinga wa kununua haya mavitu completely cash. Hire purchase inasaidia kupata nafasi ya kumbana manufacturer uwajibikaji maana bado unahela yake tofauti na huu ununuzi kama unanunua suti au gunia LA mahindi.
Jamani mbona kila kitu gundu tuu na bado watu hawaoni? Nchi imelaaniwa?
 
Mimi sio mgeni na mnunuzi aliwai kununua kivuko flani pale kigamboni nacho kilikuwa kibovu hivyo shishangai sana hata hi inawezekana ni ikawa Kama kile kivuko
 
Hapo itachunguzwa na walioiunda ionekane nini tatizo siyo jukumu letu vifaa vikubwa kama hivyo vinasimamiwa na walioviunda Kwa ukaribu Kwa sababu nao wangependa kujua nn tatizo la ndege zao
 
Kulikuwa na haja ya kumtukana? Hapo sasa unadhani sisi tunamuona nani Mpumbavu kama sio wewe?
Bladibasketiboli!
 
Wewe binadamu unayetengeneza hizo ndege unaharibika kwa kuzeeka halafu unashangaa kitu unachotengeneza wewe kinapoharibika!!.
 
Engine yaweza haribika kutokana na debris au bird strikes of which its common in aircraft (as a Future Cessna 208 Pilot speaking)
Ndege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
 
Vijana WA div 5 ya Mulugo ndo wapo kwenye ajira zama hizi...
Ndo utu tuvijana tunatoingia makazini leo hii..
Ndo miandiko yao.
 
Haiwezi kuwa vita ya Mashirika ya ndege bali watengeneza Engine ambao ni GE,RR,PW
 
Hizi ndege, mh!!!!!

Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!

Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Hata wewe unaweza kuandika habari unazoona haziandikwi na hao wahariri mbona Jf ni platform kubwa tu.

Usiwapangie watu cha kufanya.
 
Acheni uongo,ndege iliyoharibika engine sio airbus bali ni moja kati ya zile zilizokuwa xa serikali na ipo mwanza ikiendelea na matengenezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…