Ndege ni zenu na jiwe kama mnavyowananga wasio chama tawalaTuache kurushiana maneno yasiyo na tija hapa, tuelekeze nguvu na akili zetu katika kumshukuru Mungu failure ya engine haikusababisha maafa, pengine tutoe ushauri wa nini kifanyike badala ya kukejeli as if ATCL haituhusu, ndege ni zetu sote, zinapotokea changamoto sote tuguswe sawia, kejeli, vijembe na kukatishana tamaa hakutuweki pamoja.
Una uhakika gani!?Hii haifiki 2020 bila kuuwa watu.
Una uhakika gani!?
Una undugu na Mungu!??
Acha kuropoka hovyo.
Ingekuwa vizuri kama ungeanzisha mada inayojitegemea kabisa maana hapa umeongea jambo la msingi na ambalo huenda wengi hawalifahamu.Duh...!, ama kweli ng'ombe wa masikini hazai!. Haya ndio madhara ya watu kujifanya tunajua!. Tuliuliza humu kwa nini tununue ndege kwa cash money wakati hata hao nchi matajiri wananunua kwa hire purchase?!.
Sababu pekee ni performance guarantee, kikiharibika kitu chochote, suppliers wana ki replace kwa gharama yao. Ukinunua kitu kwa cash, unalipa pesa kidogo, then kinakuwa chako owned by you 100%, manufacturer anajivua responsibility!. Just imagine the cost!. Juzi juzi niliona ndege yetu ilifanyiwa matengezo makubwa kule South, leo tena hili?!.
Niliwahi eleza humu, huku kukimbilia kununua midege mikubwa ya long haul bila a bussiness plan na kuja kuyarusha domestic routes, tunazitesa bure engines kwa kuzichosha na kuzichakaza!.
Sasa tusubirie taarifa rasmi.
P
Kwakuwa keshanunua ndege za kutosha na kuna order ya nyingine mbili. Hili kuonyeshwa Magu ni kwa kiasi gani analitia taifa hasara ashauriwe kununua ndege zingine kama mbili hivi kwa hire purchase ambazo kikawaida watu wanavyofanya zinajilipa kutokana na mapato ya biashara halafu mapato yake yasiunganishwe na ndege zilizonunuliwa cash.mashaka yanaanzia kwenye kununua ndege kwa pesa taslimu. hata mwendawazimu kama Kim au Trump hawawezi kufanya hivyo.
Mleta mada ni mpumbavu na sio mtzSijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Sasa mkafanye sherehe
Ingezima ingeweza kurudi Mwanza?
Nimeshangaa sana. Eti watoe taarifa, yaani kila ttz la ndege lzm waitishe press conference mmmmmh
Kuharibika kwa ndege nalo ni jambo la kisiasa? Kwa hiyo ndio ndege ya kwanza kuharibika?