Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Hivi mwanza kuna garage pale?[emoji849]
 
Hiyo ndege ni kimeo. Ni ndege inayodaiwa kuwa na kasoro nyingi sana toka ikiwa kiwandani.
Mimi nilishasema hata bure, ndege za ATCL sitazipanda. Wanafanya kazi kwa kubahatisha sana.
 
Hivi na ndege nazo zinakuaga under warranty kama vile ambavyo ukinunua gari mpya(mf. Toyota warrant inakua 3 years or 36,000miles) whichever occurs first.
Mkuu Unafikiria Toyota Inatoa Warranty Miaka 3
Serikali Ya Tanzania Ingekuwa Hainunui Gari Tena
 
Ina Engine Mbili Mkuu
Labda anadhani Waliotengeneza ni Wabongo wenzake, Mdubwana wote huo uruke hewani bila back up ya engine.

Waweza kuta ni hawa Ndege warukao wameingia, kwa hilo huwezi kumlaumu yeyote.
 
Ndege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
Hawa makaburu washenzi Sana washatubadilishia fuzi, huyu mwandishi mbona ka kaburu nae, tusiwe na hofu ndege iko kwenye warranty tutalipwa engene mpya
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Hamna Cha usiri kimemuuma hi habari hajaileta zitto
 
Mtu mmoja leo nimemsikia akisema kirefu cha ATC ni Any time light cancellation ,na wewe aunazungumzia same thing?
 
These engine failures have in the past also affected Korean Air and other operators, raising serious questions about P&W’s workmanship, component reliability and generally the safety of this engine type.
 
We umesikia mara ngapi zimefeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…