Duh...!, ama kweli ng'ombe wa masikini hazai!. Haya ndio madhara ya watu kujifanya tunajua!. Tuliuliza humu kwa nini tununue ndege kwa cash money wakati hata hao nchi matajiri wananunua kwa hire purchase?!.
Sababu pekee ni performance guarantee, kikiharibika kitu chochote, suppliers wana ki replace kwa gharama yao. Ukinunua kitu kwa cash, unalipa pesa kidogo, then kinakuwa chako owned by you 100%, manufacturer anajivua responsibility!. Just imagine the cost!. Juzi juzi niliona ndege yetu ilifanyiwa matengezo makubwa kule South, leo tena hili?!.
Niliwahi eleza humu, huku kukimbilia kununua midege mikubwa ya long haul bila a bussiness plan na kuja kuyarusha domestic routes, tunazitesa bure engines kwa kuzichosha na kuzichakaza!.
Sasa tusubirie taarifa rasmi.
P
Aliokodishiwa ndio waseme. ATCL waseme ndio wanatumia. Kama ndege wameingiza kwenye injini au wadudu. Hasa senenePointi iliyopo ni kuwa je, dege ni bovu au sio bovu? Full stop!
Sasa Rais Magufuli anahudika na nini katika hiyo hitlafu ya ndege? Kwani yeye ametengeneza hizo ndege? Ina maana hiyo mitumba yenu ya magari kutoka Japan ikiharibika nyie ndiyo wa kulaumiwa?Hizi ndege, mh!!!!!
Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!
Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Sabotage!Ndege brand new namna hii engine kuzima angani si jambo la kawaida kabisa.
Hilo ni swali la msingi sana Mkuu wangu.Hizi ndege, mh!!!!!
Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!
Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Kwanini una mwita mpuuzi? Hayo ni mawazo na mtizamo wake na halazimiki kuwaza kama wewe. Sijaona kitu cha kumwita mpuuzi kwenye post yake. Tuheshimu mawazo na mtizamo wa wengine hata kama hatupendezwi ikibidi kupinga tutumie lugha ya stahaWe nawe ni mpuuzi. Wataalam wanashangaa kwa nini engine hizo zimekuwa zikifail, wewe usiye na ujuzi unasema ni kawaida.
Kiuhalisia ndege haistahili kuharibika ikiwa inafanya kazi. Kila part ina muda wake wa replacement, kabla ya muda ambao hiyo part inaweza kupata failure. Kwa hiyo kimsingi ndege haistahili kuharibika na wala replacement ya parts huwa haisubiri part ipate failure.
Zanzibar ipo karakana
Unawapongeza kwa lipi? Huo ni wajibu wa kazi yao, na wamefundishwa kukabili zaidi ya hilo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imetua vipi sasa au bado ipo angani.
Imetua vipi sasa au bado ipo angani.
Wasiwasi ni ugonjwa, ukiona unazidi kamuone daktari.Nahisi matatizo ya kiufundi. Kikubwa imetua salama, wafanye marekebisho vizuri kuepusha maafa yasije tokea na watu ndio wakazidisha maneno mengi zaid. Najua kuna watu kimoyo moyo waliomba ingeanguka na kulipuka pasipo kusahahu kulikuwa na watu mle... siasa mbaya sanaaa [emoji47][emoji47]
fundi chuma hii imeshajadiliwa hapa mpaka ika-expire. Ulikuwa wapi?Mwewe wa jiwe amekata moto angani,hizi ndege hazina faida ziuzwe tu,mradi wa mwendokasi na elimu bure mmeshindwa mtaweza ndege??View attachment 1218618