watu wa kaskazini utawajua tu...ngoja nijiangalie mifukoni.........
Hii kampuni baada ya kuwa chinja chinja wakabadili jina la kampuni kwasababu watu walikuwa wanayakimbia haya mabasi saizi wanajiita Kilimanjaro Express.ukipanda kilimanjaro ujue umepanda air masae
Nimeuona asee..i real miss ArushaHahah...shem si unaoni mlima Meru hapo nyuma!!
Okei asante sanaKaribu tena...ukija usiache kuja kwetu huku Themi...
Come on dude, no proofs no right to conclude. Kwamba lilibadili jina na kuwa Kilimanjaro sijui umelitoa wapi? Manake Kilimanjaro Express lilikuwepo wakati Air Msae Co. Ikifanya kazi. 2002/2003 if I'm not mistaken Air Msae ilipata ajali na kuua about 70 passengers.Hii kampuni baada ya kuwa chinja chinja wakabadili jina la kampuni kwasababu watu walikuwa wanayakimbia haya mabasi saizi wanajiita Kilimanjaro Express.ukipanda kilimanjaro ujue umepanda air masae
Mkuu kwa safari za Lindi na Mtwara, Buti la Zungu ndio gari la uhakika...
nalikumbuka sana mkuu.
na ni gari ambalo familia yetu haiwezi kulisahau kamwe..
Kwenye ajali ya 1995 tulimpoteza mjomba wetu mpendwa, Jaspert..(R.I.P)..
Mkuu umeongopa. Msae ni wa rombo na sawaya wa kilimanjaro ni huko marangu.Hii kampuni baada ya kuwa chinja chinja wakabadili jina la kampuni kwasababu watu walikuwa wanayakimbia haya mabasi saizi wanajiita Kilimanjaro Express.ukipanda kilimanjaro ujue umepanda air masae
Mwenyewe nimeshangaa hapa.. tofauti kabisaMkuu Kilimanjaro Express zamani ilijulikana kama Sawaya, sio Air Msae.
Uko sahihi kabisaaaSio kweli Msae kwa sasa inaitwa Metro Coach...office zao ni pale karibu na Shoprite kamata. Kilimanjaro ni kitu tofauti mazee. Acha upotoshaji
mkuu rombo ipo wapiMkuu umeongopa. Msae ni wa rombo na sawaya wa kilimanjaro ni huko marangu.