miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,053
Wilaya kutoka kilimanjaro.. na makao makuu ya wilaya yanaitwa Mkuu.mkuu rombo ipo wapi
Wilaya kutoka kilimanjaro.. na makao makuu ya wilaya yanaitwa Mkuu.mkuu rombo ipo wapi
Uko sahihi kabisa AirMsae kwa sasa ndio Metro coach na siyo KilimanjaroSio kweli Msae kwa sasa inaitwa Metro Coach...office zao ni pale karibu na Shoprite kamata. Kilimanjaro ni kitu tofauti mazee. Acha upotoshaji