Air Force One ndege yenye maajabu kuliko zote Duniani

Air Force One ndege yenye maajabu kuliko zote Duniani

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Air force one ikiwa ndio ndege inayombeba Rais wa Marekani na ndio inayotumika katika ziara zote za Rais yoyote yule wa taifa kubwa duniani.

Air Force one inakadiriwa kuwa na urefu ka gorofa sita au saba na upana wa ndege za kawaida mbili. Kwa ndani Air Force One ina kila kitu ambacho ungeweza kukiona ndani ya nyumba ya kifahari au office kubwa; Kuna Office maarum ya Rais, kuna hoteli kubwa kwa ajili ya vyakula na vinywaji.

Inaelezwa kwamba Air Force one imewekewa mitambo mikubwa ya kisayansi kiasi kwamba Rais anauwezo wa kuongoza Taifa lake huku akiwa ndani ya ndege au kutoa taarifa yoyote kwa taifa lake. Air force one ni ndege ambayo haipitishi risasi na ni ndege ya vita ambayo inauwezo wa kufanya mashambulizi ya kivita na pia ina mwendo wa kasi kama chopa za kivita..


images (1).jpg
images.jpg
images (1).jpg
 
ht_air_force_one_table_kb_131211_4x3_992.jpg
 

Attachments

  • images (2).jpg
    images (2).jpg
    8.3 KB · Views: 378
marekani ndo taifa kubwa lenye nguvu zaidi duniani
 
Back
Top Bottom