Air Force One ndege yenye maajabu kuliko zote Duniani

Air Force One ndege yenye maajabu kuliko zote Duniani

Ndo ingekuwa yakwetu nahc mkwele angekuwa anaish humo humo na angetaa kuhama baada ya kustaafu
 
MAIN-Vladimir-Putins-Presidential-Airplane.jpg
 
Mkuu kwenye Ziara zote ikiwa ni pamoja na ndani ya Marekani ?
 
Naskia kuna Airbus au Boeing 747 -8 ipo kwenye matengenezo itaanza kutumika 2017 sijui hiyo itakuaje
 
Kuna mheshimiwa mmoja aliwahi kuniambia kuwa safari ya raisi wa marekani inakua regarded kama military mission
 
Meza tu kwa sababu hiii siyo chai... hii ni Juice ya ukwaju... lazima mate yajae..
Teh! Teh ! Hamna namna mkuu asante ,swali lingine la kizushi ,Airforce one ilipokua Kenya kuna ndege nyingine zinakua stationed kwenye viwanja vya nchi nyingine kama Tanzania,Uganda na Rwanda na zenyewe zinaondoka au ?? Unaposema ndege zinatoka Pentagon kwani ili manowari inayokua karibu kabisa na Raisi wa marekani alipo ziarani inakua imebeba vitunguu na strawberries au ??
 
Back
Top Bottom